Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

Mkuu

Unaishi nchi gani? Wewe hata usipopiga kura CCM itashinda kwa kura milioni 30
 
ccm ya sasa ni ibirisi watupu, kuno wizi mkubwa pesa za walipa kodi Bashungwa, IGP, Amos makala, Polisiccm na chawaccm, wamebuni miradi haramu ya kishetani kuharalisha wizi wao, wanachofanya sasa ni kumchochea Mama iddy Amin Dada afanye vitu vya hovyo kuwabambikia kesi kuwaonea kuwaua kuwateka wapinzani, kisha wanaomba pesa bilion 15 kazi maalum wamegawana kienyeji hadi wakenya walipodukua Account ya IGP na siri zote kujulikana, ni wizi mpya kupitia mateso kwa chadema, yaani kutaabika kwa chadema ni kushiba kwa Amos makala na Chawaccm, kuna ushetani wa kutisha huko ccm
 
Mkuu

Unaishi nchi gani? Wewe hata usipopiga kura CCM itashinda kwa kura milioni 30
Dunia isipoona misururu ya watu kisha ccm mje na kura feki itawakataa na ndipo kutazuka machafuko kwani watu wamechoka na manyanyaso ya ccm
 
Kura wataiba lakini endapo hakuna aliyejitokeza kupiga kura ndipo kuna vipengere
Watawala hawa wetu hawajali hilo. Kabla ya mwezi mmoja kupiga Kura dalili zitakuwa wazi watu hawataenda kupiga Kura. Watawatisha wafanyakazi wote hasa waalimu lazima wakapige Kura. Vituo vitakuwa na mtu mmoja mmoja lakini wataongezea idadi ya watu kwa kugushi. Na idadi itatofautiana sana na hali halisi
 
Magufuli amekufa kwa ujinga wake mwenyewe. Anaambiwa kuna corona yeye ana shupaza shingo.haya sasa imemkumba
Alivyokuwa akiangalia ile team yake ya ulinzi na misafara yote na mitambo ya kujam networks wherever he was alijua corona pia itadunda, kumbe waliomzunguka ni binadamu na Corona ni virus😀😀
Yaliyotokea ni historia....
 
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.

Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.

Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.

Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.📌🔨
 
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya kuwa utawala mama iddy Amin utakuwa mfupi unaenda kutimia kwani ccm wenyewe wamegawanyika , kuna Timu kikwete kuna Timu magufuli na kuna Timu mana iddy Amin dada ambao wengi ni chawaccm wasio na nguvu nguvu kwenye maamuzi makubwa, ccm inaenda kuwa kama KANU ya kenya mda si mrefu
 
Alivyokuwa akiangalia ile team yake ya ulinzi na misafara yote na mitambo ya kujam networks wherever he was alijua corona pia itadunda, kumbe waliomzunguka ni binadamu na Corona ni virus😀😀
Yaliyotokea ni historia....
Magufuli aliuawa na watekaji wa sasa
 
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.

Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.

Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.

Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.

Mambo ya UTEKAJi inaichafua SIRIKALI ya SISIEMU kwa kiwango kikubwa ,na Gwajima ametufumbua MACHO wanaoteka ni kina NANI.
 
Watekaji hamia Zanzibar kwani Tanganyika wamechoka utekwaji wa kutolewa kafara sasa kila mmoja anataka Tanganyika idai uhuru wake muungano ufe watanganyika wajiokoe toka kwa mkoloni kaburu ibirisi toka Zanzibar
 
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.

Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.

Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.

Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Nina hofu suala la Udini na Uzanzibari linaweza kujitokeza kwa nguvu bila kusahau genda. safari hii kazi ni kubwa bila kusahau athari za NRNE
 
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.

Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.

Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.

Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Zitainyima kura akishindana na nani ? Chauma,TLP, ACT kwa bara ? UDp, Cuf,
 
Back
Top Bottom