Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Sasa "wananchi watahoji", halafu wampe nani kura kama CHADEMA hashiriki.
Huoni kuwa itawalazimu tu wananchi wawapigie kura hao hao wanao wahoji?

Lakini inaeleweka, hata wasipowapigia kura, ushindi wa hao CCM utakuwa upo pale pale, kama kawaida!
 
Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.

Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.

Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.

Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
We una utapiamlo wa akili, CCM hakuna kipindi kinang'ara na hakina mpinzani km kwenye uchaguzi wa mwaka huu
 
Leo nimeona nazani n mwenge umepita njia ya gobaa kupitia makongo jaman serikali nauliza tu ule msafara wa magari n wa nn jmn 🤔🤔

Serikali mnatumia magari mengi sana aiseé Kwenye vitu vimepitwa na wakati🤔🤔🤔
We akili yako ndio imepitwa na wakati, mwenge wa uhuru ni alama ya uhuru haiweziki kupitwa na wakati we ndio utapitwa na wakati maana utakufa na hakuns atakayekukumbuka
 
Watawala hawa wetu hawajali hilo. Kabla ya mwezi mmoja kupiga Kura dalili zitakuwa wazi watu hawataenda kupiga Kura. Watawatisha wafanyakazi wote hasa waalimu lazima wakapige Kura. Vituo vitakuwa na mtu mmoja mmoja lakini wataongezea idadi ya watu kwa kugushi. Na idadi itatofautiana sana na hali halisi
Kwa Watanzania hawa tunaowajua? Tusubiri mwezi wa kumi tutapata majibu
 
Hahaha CCM aihitaji Hoja yoyote kushinda.

Nyie ndio mnawasiwasi wao hata wanapanga baraza la mawaziri.

Kwani CCM waliopo mliwachagua kwa hoja gani?
 
Back
Top Bottom