Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Magufuli amekufa kwa ujinga wake mwenyewe. Anaambiwa kuna corona yeye ana shupaza shingo.haya sasa imemkumbaMoja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.
Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.
Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.
Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro
Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Toa upuuzi.kenge wewe.Magufuli amekufa kwa ujinga wake mwenyewe. Anaambiwa kuna corona yeye ana shupaza shingo.haya sasa imemkumba
Watamhoji nani?Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.
Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.
Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.
Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro
Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
ilani ya ccm sasa ni ushetani utekaji uonevu na vitendo vyote haramu vya kishetaniIlani ya CCM imejibu kila kitu
Amos makala ununuzi wa G55 kwa ChaumaccmWatamhoji nani?
Baba yakoWatamhoji nani?
Kura wataiba lakini endapo hakuna aliyejitokeza kupiga kura ndipo kuna vipengereHawategemei kwenye sanduku la kula. Wananyang'anya tu. Na bahati kwao WaTz ni wafu hawezi kujitetea
Kama katiba watu walithubutu kusema Ni kitabu tu itakua ilani? ππππππ. Wanasiasa ni viumbe walaghai wa kutupwa.Ilani ya CCM imejibu kila kitu
Mjinga mmoja wewe. Nenda kajadili na wazazi wako . Unaweka topic halafu hutaki watu wajadili???Toa upuuzi.kenge wewe.
Pumbafu kenge. Unaleta ushoga kwenye kila jambo? Pumbavu mbwa usie na akiliMjinga mmoja wewe. Nenda kajadili na wazazi wako . Unaweka topic halafu hutaki watu wajadili???
Kwani huyo magufuli amekuwa mungu???
ilani ya ccm ni utekaji uonevu manyanyaso kwa wananchiKama katiba watu walithubutu kusema Ni kitabu tu itakua ilani? ππππππ. Wanasiasa ni viumbe walaghai wa kutupwa.
OK!Baba yako
namba moja mbona kama haina mashiko?namba tatu imeniuma sana maana there was no need serikali kukaa kimya bila kutolea ufafanunuzi.hoja hii imeifanya CCM kuchafuka bila sababu ya msingi.kipindi cha jpm yawezekana watu waliteka lakini wateka hawakuwahi kusema kuwa ni afisa wa police.leo mtekaji anajitambulisha kuwa ni afisa wa police then anayekamatwa anakutwa amekufa au kupotea kusikojulikana then watawala wanakaa kimya.hii siyo sawa inachafua chama tawala .kwani ukitoa taarifa hata kama ni ya uongo unapoteza nini? kwa hali ilivyo wananchi wataanza kujilinda na kujihami.hii ni hatari sana.tujirekebisheMoja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi.
Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo.
Utekaji ubambikiaji kesi. Hii inakwenda kuwa mjadala mkubwa maana raia wengi wanaumia mioyoni mwao.
Wizi wa kura unaofanywa na CCM kama alithibitisha Nape Nnauye na Yule kada wa CCM aliyekuwa Ngorongoro
Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Mzimu wa magufuli umeamka baada ya watu kujua kuwa aliuawa na watesi watekaji na pia laana za walioumizwa na uonevu wa ccm viko juu sana mungu anaenda kufanya jambo Dr mpango atakuwa Rais wa mpitoMjinga mmoja wewe. Nenda kajadili na wazazi wako . Unaweka topic halafu hutaki watu wajadili???
Kwani huyo magufuli amekuwa mungu???