Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

Japokuwa CHADEMA hawatashiriki uchaguzi wananchi wazalendo watahoji.
Sasa "wananchi watahoji", halafu wampe nani kura kama CHADEMA hashiriki.
Huoni kuwa itawalazimu tu wananchi wawapigie kura hao hao wanao wahoji?

Lakini inaeleweka, hata wasipowapigia kura, ushindi wa hao CCM utakuwa upo pale pale, kama kawaida!
 
We una utapiamlo wa akili, CCM hakuna kipindi kinang'ara na hakina mpinzani km kwenye uchaguzi wa mwaka huu
 
Leo nimeona nazani n mwenge umepita njia ya gobaa kupitia makongo jaman serikali nauliza tu ule msafara wa magari n wa nn jmn 🤔🤔

Serikali mnatumia magari mengi sana aiseé Kwenye vitu vimepitwa na wakati🤔🤔🤔
We akili yako ndio imepitwa na wakati, mwenge wa uhuru ni alama ya uhuru haiweziki kupitwa na wakati we ndio utapitwa na wakati maana utakufa na hakuns atakayekukumbuka
 
Kwa Watanzania hawa tunaowajua? Tusubiri mwezi wa kumi tutapata majibu
 
Hahaha CCM aihitaji Hoja yoyote kushinda.

Nyie ndio mnawasiwasi wao hata wanapanga baraza la mawaziri.

Kwani CCM waliopo mliwachagua kwa hoja gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…