Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

Mbona kila maandiko yako yanakuwa na ukakasi sana Kwani aliyempitisha Tundu Lissu ni CCM, yaani unandika kama hutumii akili kama wanampenda Nyalandu sasa ilikuwaje wakampitisha Lissu. Hivi atafute wadhamini alafu aanze kuwakikiki kivipi wadhamini aliowatafuta mwenye kwanini ahakiki wadhamini ambao hana mashaka nao. Unahakiki kitu ambacho huna uhskika nacho.
 
Hapo sasa; ni waTanzania wachache, nasema wachache, tena wachache mno wenye matatizo ya akili watakaompa Lisu kura. Chadema jiandaeni kwa aibu ya karne mtajua jinsi ambavyo Mlema ana akili kuwazidi.
 
Yule wa CCM alienda lini kwa wakurungezi kuhakiki? shame on you
Swali zuri tu umemuuliza.

Swali la Pili, je siku walipokwenda kuchukuwa fomu, waliambiwa utaratibu huo?

Ni lazima ieleweke kuwa CCM walijipanga kwa kila aina kuhakikisha jina la Tundu Lissu halipenyi pale Tume ya uchaguzi................

Lakini kama risasi 16 hazikumuua huyu Tundu Lissu kwa uweza wa Mungu, vile vile njama zote za kukata jina lake pale kwenye Tume hazikuweza kufua dafu!
 
Weka basi na hizo kanuwakurugenzi, maji tujue kama Lisu kushinda na njaa jana ni makosa yake?
Tena nafikiri hao CCM walipanga kuwahujumu kupitia kwa hao mnaowaita wakurugenzi, ambao ni makada wa CCM, ili wazihakiki hizo form.........

Tundu Lissu kawastukia mnaanza kutoa povu
 
Kabisa mkuu
 
Usipotoshe watu wewe, ni option ether kupitisha form kwa wasimamizi wa majimbo kuhakiki ama lah... Mkurugenzi wa elimu ya mpiga kura alilitolea ufafanuzi hilo vizuri kabisa kwamba inawawia urahisi wao Tume kama mgombea alihakiki katika vituo vyao mikoani, lakini kama hajahakiki basi ni wajibu wao kuzihakiki ingawa inachukua muda mrefu kidogo.

Si eti busara ya Tume kuzihakiki bali ilikuwa ni wajibu wao tena wa kisheria.
 
Pongezi ya nini wakati tume yake mumeiyona inavopitisha watu bila kupigwa
 
Haya sawa tumekusikia Naibu Mkurugenzi wa Tume. Tutakutana ulingoni.
 
yaani unataka tuipongeze ATM kwa kututolea hela zetu wenyewe?!!
 
Sasa ni zamu ya watanzania kupiga kura za kinafiki,wewe tu kaa mkao wa kula my lovely sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…