Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

Yapi ambayo kakufanyia unogopa kutueleza? Ama kakupiga pump?
 
Hapo sasa; ni waTanzania wachache, nasema wachache, tena wachache mno wenye matatizo ya akili watakaompa Lisu kura. Chadema jiandaeni kwa aibu ya karne mtajua jinsi ambavyo Mlema ana akili kuwazidi.
Jipe furaha mwenyewe ewe usiye na matumaini ya kupata furaha.
 

Unaongeza utoto gani dogo?
 
Shetani utamjua tu, Lissu nmhategemei salary wala ruzuku na ndio maana kwa kutumia ujuzi wake, muda wake na maarifa yake, aliweza kusimamia na kuwatoa gerezani wananchi 460 kama wakili, bila kudai hata senti tano, huu unyama ulifanywa na serikali yako ya CCM
 
Pengine kaijage alisoma upepo akabadili gia Angani kwa kuomba ruksa toka kwa Mtukufu mwenyekiti wa CCM Taifa hapo chamwino, ujue sasa NECCCM Tumeccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria bali wanafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM hii ndiyo Tumeccm inayotumika kutangaza matokeo October 28 bado watanzania wanajiuliza maswali mengi kichwani.
 
Wewe ni mjinga hao wote waliopitishwa hakuna aliehakikiwa na sheria inataka wote mrudishe siku moja
 

Naona unataka kulazimisha ionekane tume inafanya kwa wema, huku ina idadi ya wapiga kura ya kupika.
 
Wewe ni mjinga hao wote waliopitishwa hakuna aliehakikiwa na sheria inataka wote mrudishe siku moja
Vyama vingine hata CCM hawakuhakiki chochote walipitisha tu lakini ilipofika zamu ya chadema zikaanza figisu figisu wakipokea Simu toka kwa polepole aliyepewa maagizo na mtukufu awakomoe chadema lazima nafsi zikawasuta ikabidi wampigie magoti mtukufu wamuombe ruksa kutenda haki jana na Leo watest hujuma ingine haramu kwa Tundu lisu kupitia pingamizi litalowekwa na Shibuda na Lipumba na wenzao ambao tayari wamepokea pesa nyingi tokea juzi kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni mojawapo wa madalali wa huo mchongo haramu wa kishetani.
 
Naona unataka kulazimisha ionekane tume inafanya kwa wema, huku ina idadi ya wapiga kura ya kupika.
Yule mama wa Tumeccm aliyevaa miwani na kilemba kichwani mwenye sura pana mbaya ndiyo mchawi mkubwa wa chadema, leo anaendelea na hujuma zaidi ni vyema tuendelee kumuomba mungu ushetani wao ufeli zaidi.
 
Acha Ungese wewe Mbwa
Hakuna Sheria inataka ukaguzi wa wadhamini ufanywe na wakurugenzi.
Hiyo ni option tu ku fasten activities during nomination day.
It's either uhakiki ufanywe na Wakurugenzi au ufanyike na NEC siku ya uteuzi which is time consuming
CHADEMA wali tradeoff kati ya Uhuni wa Wakurugenzi V/S time consuming tasks during nomination day kama jana.
Wakaona kutumia Wakurugenzi ni Uduanzi.
Na ofcourse it worked like a charm
Hakuna cha Busara za Jaji Kaijage wala Busara za Mamaako
Swine
 
Mkuu sheria inasema zipite huko au ni utaratibu tu wa kimazoea waliojiwekea wanaccm maana naona hiyo tweet ya Chadema na maelezo yako haviendani
Hajielewi huyo Mbweha
 
Siwezi kumpa pongezi mtu anaetimiza wajibu wake kwa kazi anayolipwa mshahara.
Tena wajibu wenyewe kautimiza kwa mbinde baada ya kuona mitandaoni kote wamechachamaa Duniani kote anamulikwa na kila mpenda haki
 
Another idiot
 
Jaji kaijage anafanya kazi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM badala ya katiba na Sheria za Nchi
 
Endapo mtukufu ikitokea muujiza akarejea ikulu ya chamwino ujue hutakosa uteuzi wa katibu mkuu ofisi ya mtukufu chato chamwino na kule magogoni Dsm kwa jinsi unavyoutetea Udhalimu wake.
 
Kaijage et-al must do their home work. Wanatakiwa kureview na kuweka utaratibu unao zuia wagombea kuenguliw kiboya boya huko majimboni. Eti tunakuondoa kwasababu picha hukuziweka, come on! si mmwambie azilete?
 
Una uhakika JIWE alipeleka zake? au unaropoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…