Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

Hawa waliobuni kupita bila kupingwa!? Ipo siku yao,siku tutakapo kuwa tuna chinja washenzi Kama samuel doe,au ghadafi,na Hawa tutawakumbuka tu.
 
Umesikia kuwa mgombea wenu amekosea kujaza fomu?
 
Hapo sasa; ni waTanzania wachache, nasema wachache, tena wachache mno wenye matatizo ya akili watakaompa Lisu kura. Chadema jiandaeni kwa aibu ya karne mtajua jinsi ambavyo Mlema ana akili kuwazidi.
Sawa dada
 
WAGOMBEA WOTE WASINGEHAKIKI WADHAMINI KTK MAJIMBO BASI INGETAKIWA WIKI NZIMA YA KUPITIA FOMU KWA SABABU YA MGOMBEA WA CDM ILICHUKUA ZAIDI YA SAA SITA.
MWENYE AKILI TIMAMU ATAKUBALI KUWA HAWA CHADEMA WAJAJIPANGA HATA KIDOGO. WANATAFUTA KIKI ZA KUONYESHA WANAONEWA
 
Naona unaandika kiushabiki zaidi. Mkuu twaomba evidence
 
Ni upumbavu na uzumbukuku wa kiwango kikubwa kujumuisha wingi wakati unaisemea nafsi ya umoja (nafsi yako).
 
Kupongeza mkurugenzi wa tume na wakati mwingine kupongeza IGP kwa kufanya wajibu wao sioni logic. Ni bahati mbaya sana kuwa tumezoea kutendewa yasiyo haki hivyo kutendewa haki twaona sio kawaida. Kodi zetu zawalipa mishahara na marupurupu mengine ili wafanye kazi tuliyowapa sio kufanya vinginevyo.
 
Utatunga na kubumba sana, utakapogundua kuwa waongea na wakijani wenzio wa kijiwe chako tu, utajionea hurumakwa kujichosha na kuamua kuacha.
 
Hapo sasa; ni waTanzania wachache, nasema wachache, tena wachache mno wenye matatizo ya akili watakaompa Lisu kura. Chadema jiandaeni kwa aibu ya karne mtajua jinsi ambavyo Mlema ana akili kuwazidi.
Mi nina akili zote na elimu yangu nzuri tu ya darasani na ujasiriamali nampigia kura tundu lisu plus sugu mbeya mjini na pia nawahamasisha mashosti zangu hapa mtaani kuichagua chadema
 
Alikuwa na njaa labda afu ana mambo mengi kichwani ulitaka awe anacheka cheka kama malaya?
 
Una uhakika? Kwani wao CHADEMA hawakuwa wanajua kuwa TL ilikuwa lazima Tume iimpitishe tu hata kama angekuwa amekosa sifa, kwa sababu kutokumpitisha kungehesabiwa na wafuasi wa chama kama wanamuonea TL, na hivyo kupelekea vurugu?
 
Mkuu kabla ya kulaumu na kushutumu unaweza kuiweka hiyo kanuni hapa?
Lissu alifanya makusudi kutopitisha fomu zake kwa Wasimamizi wa Uchaguzi kwa uhakiki kwa kuwa aliogopa wasimamizi hao wangeweza kufamfanyia mizengwe kwa kukimbia Ofisi. Hizo Fomu zinaweza kuhakikiwa na Wasimamzi au NEC.
 
Na waliochukua majina ya wadhami kwenye daftari la wapigakura NEC walithibitishaje majimboni?
 
Na hao polisi waliowakamata wagombea wakielekea kuwasilisha form ?
Huu ni mchezo safi?
 
Ivi mnalipwa shilingi ngapi? Kutwa Kucha kuzusha uongo?
Leo unakubali kwamba nyalandu kaanza kampeni mapenzi? Juzi ulisem CDm hawana pesa ya kampeni? C unasema wametumwa na wazungu? Wasiwape basi pesa za kupandia ile Midubwasha yenu pale JKN?
 
Hio ni kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Je sheria za Uchaguzi zinatakaje?
Acha uongo .kwa maelezo ya msemaji wa Tume wagombea nafasi ya Uraisi walitakiwa kuhakikiwa kwenye majimbo au moja kwa moja Tume ya uchagzi kuanzia tarehe21 mpaka25 wahiyo hakuna tatizo
 
Tatizo la Lissu na waunga mkono wake Ni kuamini kuwa tume ikitangaza ushindi wa Wagombea wa CCM, Basi itakuwa haijatenda haki. Haki kwao ni mgombea woa kutangazwa mshindi bila kujali uhalisia kutoka kwa debe.
 
Tatizo hapa ni mihemko ndio inatupa shida.
Yaani ccm na matawi yake yote wanavyo hangaika kupata sababu za kuwakata wapinzani wao, halafu wapate sababu lakini wawaache wapite eti kwa busara?

Kama ungesoma vizuri halama za nyakati ungegundua kwamba kila mmoja yupo katika kumtega mwenzake ili apate nafasi yakujiongezea wapiga kura.

Alichokifanya Lissu kilikuwa mtego kwa tume, lakini tume iligundua mtego huo na kuuepuka.
Na hata tweet yao iliandikwa kimtego lakini wewe mleta uzi umeshindwa kugundua mtego huo na umekunasa. Matokeo yake habari nzima uliyoandika haina faida tena kwa sababu hata ushahidi wako wa hiyo tweet ya CDM umekataana na maelezo yako.

Labda nikusaidie mtego wenyewe ulivyo. Tweet yao inasema hivi:
"Kwa ajili ya kusimamia utaratibu wa kisheria, fomu za mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu hazikupita kwa wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya zoezi la uhakiki".

Maana yake ni kwamba CDM wanajua kwamba fomu kuhakikiwa na wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi si utaratibu kisheria, ndio maana wamesimamia utaratibu wa kisheria kutopitisha fomu hizo kwa wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi.

Maana kuu hapa ni kwamba CDM walisimama katika sheria ndio maana hawakufuata kanuni kwa sababu wanajua sheria ipo juu ya kila kitu, na kanuni haiwezi kuwa juu ya sheria.

Hivyo ungeipongeza tume kwa kuhepuka mtego wa Lissu na chama chake. Na si busara ya huruma kama unavyotaka kuwaaminisha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…