Ni kweli vyama vyote vilikuwa vinadharau sana juu ya hili kwa kuchagua wagombea wenza incompetent. Ila kwa hili lililotokea naamini litakuwa no funzo tosha.
Hii kanuni ilipowekwa watu wengi walikuwa wanadhani haitakaa itokee rais afariki au ashindwe kuendelea na madaraka wakati akiwa kwenye kiti, hivyo hapa umezungumzia jambo la ukweli kabisa. Vyama vyote wakati wa ucahaguzi mgombea mwenza amekuwa kama mtu wa kutimiza mashatri ya kikatiba tu. Ila kwangu mimi naona tatizo haswa lipo kwenye muungano wetu. Hili la kulazimisha rais akitokea bara basi mwenza lazima atoke visiwani ndilo tatizo. Ingekuwa vizuri mgombea mwenza akatokea upande wowote.Nadhani sasa tushapata funzo kubwa sana Kama nchi tabia ya kuweka weka watu kisa tu kutimiza kanuni au huruma na kuwapa watu fulani kipaombele nadhani sasa itaishia hapa
Tutafika ila tukiwa kwenye hali mbaya kaka.Kaka ni kweli kazi iendelee lkn mmh tutafika tu!
Kaka Kaka Kaka nakusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Walifikiri rais aliye madarakani ni nguzo ya chuma kwamba ataishi milele hawakuwahi kuwaza kua Mungu anaweza kuchukua mja wake wakati wowote kisha huyu wa mazingira ndio atakaa kifalme pale juu.Nahisi kuna fundisho watakuwa wamelipata hao wanaochagua wagombea wenza, hili la sasa lililotokea itakuwa kama CASE STUDY.
Miaka mingi wagombea wenza walichukuliwa kama watu ambao majukumu yao yanaishia kwenye KERO ZA MUUNGANO na mambo ya MAZINGIRA tu na watu waliopoa(Shein,Gharibu,Ali Jumaa) sana.
Itakuwa ni hivo mana nadhani ili kujihakikisha ufalme kamili itabidi upate POOZA moja ili ufanye yako usipate changamoto ya kuhojiwa hojiwa mambo ya msingi.😂.Tutafika ila tukiwa kwenye hali mbaya kaka.
Ila sijajua takwa la kikatiba linasema kuchagua MIPOZA au?!
Kazi iendelee
Kabisa mkuu.Walifikiri rais aliye madarakani ni nguzo ya chuma kwamba ataishi milele hawakuwahi kuwaza kua Mungu anaweza kuchukua mja wake wakati wowote kisha huyu wa mazingira ndio atakaa kifalme pale juu.
😂😂😂Itakuwa ni hivo mana nadhani ili kujihakikisha ufalme kamili itabidi upate POOZA moja ili ufanye yako usipate changamoto ya kuhojiwa hojiwa mambo ya msingi.😂.
Kwanini tena Kaka hii so ndio salam ya taifa kwa sasa?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Mama yeye binafsi kama yeye hana roho kikatili wana ulevi wa madaraka, lakini hajafanya kinachotakiwa, bila kubadili mifumo ya utawala hasa katiba, ni rahisi kuja kutawaliwa na rais mwingine muovu na dhalimu huko mbeleni. Ifahamike ccm ni chama cha kizazi kilichopita, hivyo kwa sasa hakina ushawishi mkubwa tena, kwahiyo inabidi kitumie mabavu kubaki madarakani kwa shuruti. Katika mazingira ya katiba hii outdated, ni rahisi sana kwa rais muovu kupractice uovu kama aliyepita kwani hata madarakani atajikuta anaingia kwa hila.Sawa, hebu weka taswira kidogo tulikuwa na dikteta vipi sasahivi tuna nini?
Kwani Kamati huwa haina mwenyekiti? Mbona zanzibar kwa muda mrefu ilikuwa inaongozwa na "baraza la mapinduzi"?Nchi iongozwe na kamati ?
Sawa ngoja tuhifadhi haya maoni yatatufaa kwa matumizi huko baadae mkuu.Mama yeye binafsi kama yeye hana roho kikatili wana ulevi wa madaraka, lakini hajafanya kinachotakiwa, bila kubadili mifumo ya utawala hasa katiba, ni rahisi kuja kutawaliwa na rais mwingine muovu na dhalimu huko mbeleni. Ifahamike ccm ni chama cha kizazi kilichopita, hivyo kwa sasa hakina ushawishi mkubwa tena, kwahiyo inabidi kitumie mabavu kubaki madarakani kwa shuruti. Katika mazingira ya katiba hii outdated, ni rahisi sana kwa rais muovu kupractice uovu kama aliyepita kwani hata madarakani atajikuta anaingia kwa hila.
Nchi haiwezi kuongozwa na kamati mkuu, lazima kuwe na central authority.Kwani Kamati huwa haina mwenyekiti? Mbona zanzibar kwa muda mrefu ilikuwa inaongozwa na "baraza la mapinduzi"?
Kukiwa na kamati, maana yake ni kuwa mwenyekiti hana uamauzi wa mwisho ingawa ndiye kiongozi. Lazima kuwa na concesus ya kamati ka metric fulani, ama majority su supermajority ya members wakubaliane, halafu mwnyekiti ndiye anatangaza na kusimamia utekelezaji maamuzi hayo. Hii ni muhimu kwa sababu rais wa nchi yetu ana power kubwa sanaNchi haiwezi kuongozwa na kamati mkuu, lazima kuwe na central authority.
Kuna haja ya kuwa makini sana, I totally agree with you.
Je committee ikishindwa kufikia consensus inakuwaje ?Kukiwa na kamati, maana yake ni kuwa mwenyekiti hana uamauzi wa mwisho ingawa ndiye kiongozi. Lazima kuwa na concesus ya kamati ka metric fulani, ama majority su supermajority ya members wakubaliane, halafu mwnyekiti ndiye anatangaza na kusimamia utekelezaji maamuzi hayo. Hii ni muhimu kwa sababu rais wa nchi yetu ana power kubwa sana