Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

Mwanakijiji ni lazima uelewe kuna watu wachache ambao ndiyo wanaamua katiba ifuatwe au isifuatwe. Hivyo tusije tukaandika hapa kama vile Tanzania ni nchi yenye demokrasia ya kweli !!
2006 una post 4000 na ushee tu! (Unanitisha)...just joke, Mkuu.
====
"Demokrasia ya kweli" ni fungu la maneno yenye tabia ya ulinganifu! Kuupima ukweli wa demokrasia ya nchi lazima utupe ukweli wa demokrasia wa nchi nyingine tulinganishe.
 
MASWALI
1. Rais yuko wapi?
2. Huko alipo afya yake ikoje?
3. Kwasasa nani ndiyo anaendesha nchi?

Mimi naomba nikujibu swali lako la tatu,nyie mnadhania kwamba Raisi anaumwa,labda nikweli ni mgonjwa...Kama MNA uhakika anaumwa Basi Raisi hayupo na nchi inajiendesha yenyewe...Na sisi wanachi hatuoni shaka mana hakijakwama kitu!!!
 
Ngoja niisome taratibu bwashee!

Ni jambo jema kwa kuwa umeridhika na majibu ya waziri mkuu kulingana na maswali yalivyoulizwa!
Usome taratibu maana yake umesoma hasi mwisho na kutoa conclusion kwamba ameridhika na majibu ya PM!? Ameuliza maswali mengine humo
 
Ni kweli anaumwa, tena siyo kidogo....tusichojua ni kama amevuta au hajavuta!

Uaminivyo ww na unavyoomba sisi hatuna shaka nayo,ila kwa vile tunampenda Rais Wetu tutaendelea kumwombea tu...Popote atakapokuwa ili harudi aendelee na ziara zake za kupambania wanachi masikini...Nyie hamtufai kiukweli
 
Mkuu, utajibiwa kuwa Waziri Mkuu alishalijibu swali la Rais alipo na jibu lake ni "Anachapa Kazi."

Sasa lililobaki ni kuvuta subira tu, pengine hadi mwisho wa Kwaresma, maanake wengine walisema jamaa kajifungia kwa sababu hiyo.

Baada ya hapo, kama bado atakuwa hajulikani alipo, basi huenda kila mtu ataruhusiwa kusema lolote aonalo linafaa kuhusu alipojificha rais.
 
Mimi nashukuru Magufuli hapotezi muda kujibizana na wahuni!

Angalia yule mhuni amsterdam aliandika vibarua wee hakuna hata balozi wa nyumba 10 alimjibu.
Sembuse hili la wahuni waliojazana kule twiter?
Halafu wahuni hawa hata hawajui kuwa watu walishawadharau!! Tanzania tuko vizuri na tunachapa Kazi! Hawa wanaouliza Rais yuko wapi huenda wanataka kumwomba pesa!! Wavivu hawa! Wameambiwa Rais yuko vizuri na anachapa Kazi lakini hawataki kuamini!! Wamechagua kutokuamini hata wakimwona hawataamini!! Watasema ni msukule!!
 
Itakua finally kapata taarifa sahihi hivyo ana level the ground.
 
Rais ni nguvu iliyojificha, Ningeona busara kama ungeletwa mjadala wa kujadili, tunatokaje hapa alipotufikisha Rais na kwenda mbele zaidi, ukimuona jirani anayetaka kujua ulipo kila mda kuwa naye makini.
 
Cha kushangaza ni kwamba wanaoulizia Rais aliko ni walewale waliotuambia yuko nairobi hospital, ni walewale waliotuambia yuko kati ya sehemu mbili🙄 india au china 🤔🤔

Yohane johnthebaptist hawa watu tuwaiteje!?


Watu wako makini Mr kiki kama kapata stroke tunabidi tuambiwe
 
Mimi nashukuru Magufuli hapotezi muda kujibizana na wahuni!

Angalia yule mhuni Amsterdam aliandika vibarua wee hakuna hata balozi wa nyumba 10 alimjibu.

Sembuse hili la wahuni waliojazana kule twiter?
Rais wetu anaelewa anachokifanya.
 
Siku hizi humuanini Lissu? Si ameshawaambia alipo?
Mkuu, suala muhimu ni taarifa sahihi kuhusu alipo Mkulu kwa zaidi ya wiki mbili, hayo mengine kuhusu Lissu hayana nafasi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…