Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nulichopenda ni kuwa system ipo imara Sana, HAKUNA taarifa inayovuja. Watu wamebaki wanapiga tu ramli. Safi Sana system
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2006 una post 4000 na ushee tu! (Unanitisha)...just joke, Mkuu.Mwanakijiji ni lazima uelewe kuna watu wachache ambao ndiyo wanaamua katiba ifuatwe au isifuatwe. Hivyo tusije tukaandika hapa kama vile Tanzania ni nchi yenye demokrasia ya kweli !!
Waziri Mkuu, na Makamu wa Rais wameisha zitoa. Vinginevyo, useme hapa hadharani kwa nini unatilia shaka taarifa zao.taarifa za uhakika zikatolewa
Chaajabu, taarifa za waziri mkuu haziamini ila anaamini za wahuni wa kule twiterWaziri Mkuu, na Makamu wa Rais wameisha zitoa. Vinginevyo, useme hapa hadharani kwa nini unatilia shaka taarifa zao.
MASWALI
1. Rais yuko wapi?
2. Huko alipo afya yake ikoje?
3. Kwasasa nani ndiyo anaendesha nchi?
Usome taratibu maana yake umesoma hasi mwisho na kutoa conclusion kwamba ameridhika na majibu ya PM!? Ameuliza maswali mengine humoNgoja niisome taratibu bwashee!
Ni jambo jema kwa kuwa umeridhika na majibu ya waziri mkuu kulingana na maswali yalivyoulizwa!
Ni kweli anaumwa, tena siyo kidogo....tusichojua ni kama amevuta au hajavuta!
Exactly, eti anataka watu wasiulize na wakati huo huo ana shauku ya kujua alipo Mungu wa Chattleswali la msingi halijajibiwa bado "Rais wetu yupo wapi?"
Mkuu, utajibiwa kuwa Waziri Mkuu alishalijibu swali la Rais alipo na jibu lake ni "Anachapa Kazi."Ulichoandika sijaona hoja hapa
Zaidi zaidi naona kama unataka kujikosoa nakuona ulikosea kwenye ile thread yako ya "ya rais kama anaumwa tuambiwe"
Umeingiwa na woga.
Swali linabakia lile like "Rais yuko wapi"?
Kama ni mzima ajitokeze hadharani, kama anaumwa tuambiwe.
Halafu wahuni hawa hata hawajui kuwa watu walishawadharau!! Tanzania tuko vizuri na tunachapa Kazi! Hawa wanaouliza Rais yuko wapi huenda wanataka kumwomba pesa!! Wavivu hawa! Wameambiwa Rais yuko vizuri na anachapa Kazi lakini hawataki kuamini!! Wamechagua kutokuamini hata wakimwona hawataamini!! Watasema ni msukule!!Mimi nashukuru Magufuli hapotezi muda kujibizana na wahuni!
Angalia yule mhuni amsterdam aliandika vibarua wee hakuna hata balozi wa nyumba 10 alimjibu.
Sembuse hili la wahuni waliojazana kule twiter?
Itakua finally kapata taarifa sahihi hivyo ana level the ground.Sioni tatizo kuuliza wapi Rais alipo, hakuna shida yoyote hapo, tatizo la serikali ni kukaa kimya muda mrefu hali hiyo ndio huzalisha maswali mengi zaidi kutokana na nadharia tofauti ambazo watu huzifikiria, kama wangesema mapema Rais anaumwa hizi kelele zisingekuwepo, kwasababu mtu kuumwa sio jambo la ajabu.
Hivi hujui ofisi ya Rais? Umeenda ofisini kwake ukamkosa?swali la msingi halijajibiwa bado "Rais wetu yupo wapi?"
Cha kushangaza ni kwamba wanaoulizia Rais aliko ni walewale waliotuambia yuko nairobi hospital, ni walewale waliotuambia yuko kati ya sehemu mbili🙄 india au china 🤔🤔
Yohane johnthebaptist hawa watu tuwaiteje!?
Rais wetu anaelewa anachokifanya.Mimi nashukuru Magufuli hapotezi muda kujibizana na wahuni!
Angalia yule mhuni Amsterdam aliandika vibarua wee hakuna hata balozi wa nyumba 10 alimjibu.
Sembuse hili la wahuni waliojazana kule twiter?
Mkuu, suala muhimu ni taarifa sahihi kuhusu alipo Mkulu kwa zaidi ya wiki mbili, hayo mengine kuhusu Lissu hayana nafasi kwa sasa.Siku hizi humuanini Lissu? Si ameshawaambia alipo?
Ni nani mwenye mamlaka ya kutangaza na ni nani anazuiwa kusema?Kuna tofauti kati ya kusema na kutangaza!