Uchaguzi 2020 Hoja fikirishi: CHADEMA kwanini mnadai Uhuru wa Vyombo vya Habari huku mkivinyima haki, kufukuza na kuvidhalilisha!?

Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.

Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.

Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.

Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.

Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.

"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!

Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.

Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.

Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?

..ungejitahidi kuwa BALANCED kwa kueleza makosa ya pande zote, yaani TBC, na CDM.

..lakini mimi kwa upande wangu sijaona tatizo lolote ktk kauli ya TL kwamba wananchi waandamane kwa AMANI kudai haki yao.
 
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.View attachment 1550952

Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.

Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.
Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!

View attachment 1550921View attachment 1550922

Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.

Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.

Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947

Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950

Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Kumbe Dam55 ni TBCCM ahaaa leo mmewezwa pia asante kwa kujitambulisha Jamiiforums...hii picha yenyewe mliorusha wakati wananchi wanaanza kujitokeza mkutanoni imezidi kuwavua nguo kuwa nyie ni chombo kinachotumiwa na CCM. labda jambo ambalo hamlifahamu ni kwamba Chadema hailengi saana katika kujaza wananchi mikutanoni kama mfanyavyo nyie na chama chenu bali wao wanalenga kuweka sera miyoni mwa watu na wananchi wanaojitokeza kwenye mikutano ya Chadema wanakuja wenyewe bila kuhamasishwa na wasanii wa muziki...Hakika leo mmeumbuliwa sijawahi ona dunia nzima TV ya Taifa inafurumushwa kama nyie leo. Ndio mkome kuja tena kwani hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayetizama TV yenu tena
 
Tatizo liko wapi? hata kama wakitoa uchambuzi huoni kama walikuwa wakitimiza majukumu yao na wanapaswa waachwe wafanye kazi yao kwa uhuru?

Huo uchambuzi wangeufanyia studio sio kwenye mkutano wa Cdm. After all cdm hawahitaji kurushwa na TBC maana huwa hawawarushi.
 
Ccm isingeengua wagombea was upinzani kama ni hivo
Awajaenguliwa wamepokea mpunga kisha wakafanya fyongo kwenye kujaza form makusudi na wengine wakazusha sababu za uwongo kama kuporwa form na kutekwa kuficha usaliti wao kwa Chadema.
 
Cdm hawahitaji kutangazwa na TBC, bali wanahitaji uhuru wa vyombo vya habari, na TBC sio chombo huru cha habari. TBC wakatangaze vyama vingine na sio cdm tafadhali. Cdm imefika hapo ilipo bila msaada wowote wa kutangazwa na TBC.
Kwahiyo TBC hawana haki ya kupata habari za CHADEMA ?
Mkuu kwani hawa nao si wana haki ya kutangaza, inawezekana hawakwenda kwaajili ya kuwasaidia Chadema Ila walienda kwaajili ya kuwapasha watanzania habari. Kitendo Cha kuwafukuza hapo ni kuminya Uhuru wao kama chombo cha habari hata hilo nalo hulioni mkuu?
 
Awajaenguliwa wamepokea mpunga kisha wakafanya fyongo kwenye kujaza form makusudi na wengine wakazusha sababu za uwongo kama kuporwa form na kutekwa kuficha usaliti wao kwa Chadema.

..kama ni hivyo mwana-ccm aliyewapa mpunga, na mwana-cdm aliyepokea, wote wanatakiwa kuenguliwa.

cc tindo
 
Kwahiyo TBC hawana haki ya kupata habari za CHADEMA ?
Mkuu kwani hawa nao si wana haki ya kutangaza, inawezekana hawakwenda kwaajili ya kuwasaidia Chadema Ila walienda kwaajili ya kuwapasha watanzania habari. Kitendo Cha kuwafukuza hapo ni kuminya Uhuru wao kama chombo cha habari hata hilo nalo hulioni mkuu?

Hawatakiwi, wakatangaze mikutano ya vyama vingine.
 
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.

Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.

Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.

Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.

Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"

"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."

Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!

Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.

Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.

Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947

Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950

Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?

Kwani kusema watafanya maandamano ya amani ni kukiuka sheria na kusema wanadai wagombea walioenguliwa bila sababu za msingi warudishwe bila masharti hiyo kauli ina ubaya gani. Kama walikuwa hawawezi kurudia matangazo live wanalazimika kuedit kwanza wasinheanza kurusha wangerekodi halafu warushe muda wanaotaka. Ilikuwa wakianza kuongelea CCM wanakata inamaana kesho CCM wakianza kuongelea CDM watakuwa wanakata pia au.
 
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.

Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.

Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.

Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.

Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"

"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."

Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!

Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.

Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.

Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947

Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950

Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Yaani unatuona sisi raia ni mataahira wa kupokea habari nusu nusu? Wacha watimliwe aisee!
 
Kwahiyo TBC hawana haki ya kupata habari za CHADEMA ?
Mkuu kwani hawa nao si wana haki ya kutangaza, inawezekana hawakwenda kwaajili ya kuwasaidia Chadema Ila walienda kwaajili ya kuwapasha watanzania habari. Kitendo Cha kuwafukuza hapo ni kuminya Uhuru wao kama chombo cha habari hata hilo nalo hulioni mkuu?
Chadema hawana mpunga wa kampeni wanataka kutibua uchaguzi ili tukose wote.Kuzunguka siku 63 ni parefu bwashee
 
Kwahiyo TBC hawana haki ya kupata habari za CHADEMA ?
Mkuu kwani hawa nao si wana haki ya kutangaza, inawezekana hawakwenda kwaajili ya kuwasaidia Chadema Ila walienda kwaajili ya kuwapasha watanzania habari. Kitendo Cha kuwafukuza hapo ni kuminya Uhuru wao kama chombo cha habari hata hilo nalo hulioni mkuu?

..TBC wangerekodi halafu wafanye editing na kutangaza wanachoona hakina shida.

..wangeweza kuwakata wazungumzaji wote ambao kwa mtizamo wa TBC walitoa kauli zisizofaa.

..lakini mambo waliyokuwa wanafanya wakati wako LIVE kwa kweli yalikuwa yanakera.

..Yalikuwa yanakera kwa mtu yeyote aliyefuatilia mkutano ule bila kujali kwamba anaunga mkono CDM, au haungi mkono.

..moving forward, TBC wasitangaze live mkutano wowote wa kampeni wa CDM.
 
Hawatakiwi, wakatangaze mikutano ya vyama vingine.
Kwanini hawatakiwi watangaze mikutano ya vyama vingine na nani huyo asiyetaka watangaze?
Hujui kuwa marufuku yoyote ya kuwakataza wasitangaze mkutano wa chadema tafsiri yake ni kuwanyima haki wao kama chombo Cha habari na pia kuwanyima haki wale wanapenda kupata habari kupitia chombo hicho ata Kama ni wawili?
 
..lakini ile haikuwa namna nzuri ya kurusha matangazo ya mkutano ule.
 
..TBC wangerekodi halafu wafanye editing na kutangaza wanachoona hakina shida.

..wangeweza kuwakata wazungumzaji wote ambao kwa mtizamo wa TBC walitoa kauli zisizofaa.

..lakini mambo waliyokuwa wanafanya wakati wako LIVE kwa kweli yalikuwa yanakera.

..Yalikuwa yanakera kwa mtu yeyote aliyefuatilia mkutano ule bila kujali kwamba anaunga mkono CDM, au haungi mkono.

..moving forward, TBC wasitangaze live mkutano wowote wa kampeni wa CDM.
Huo ndio weledi wao wa habari sasa je unawanyima haki ya kutangaza?
Kwanini ulazimishe watangaze kwa matakwa yako (chadema) huoni kwamba hapo wananyimwa uhuru wao
 
Back
Top Bottom