Kwahiyo TBC hawana haki ya kupata habari za CHADEMA ?
Mkuu kwani hawa nao si wana haki ya kutangaza, inawezekana hawakwenda kwaajili ya kuwasaidia Chadema Ila walienda kwaajili ya kuwapasha watanzania habari. Kitendo Cha kuwafukuza hapo ni kuminya Uhuru wao kama chombo cha habari hata hilo nalo hulioni mkuu?
Hiyo ni kwa mujibu wa Picha ya wataalamu was mrengo mmoja TV taifa cccmHawa Wakipata hata 20% Ujue wameshindaView attachment 1550967
Kaka ule ndio weledi wao.
bora hata wamefukuzwa maana walikuwa wanataka kulisha propaganda za ccm kwa wafuwasi wa chadema, huku wakijifanya wanaonyesha mkutano wa chadema.Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.
Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.
Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!
Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.
Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.
Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947
Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950
Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Sasa swali la msingi je hicho ndio kinawanyima haki ya kutangaza?..hebu fikiria kama ungekuwa unaangalia mechi ya mpira halafu kituo cha TV wanafanya michezo ile.
..aliyetoa maelezo kwamba studio wawe wanakatiza-katiza ndio hana akili hata kidogo.
..I hope watakuwa wamejifunza.
Hongera sana.
Sasa swali la msingi je hicho ndio kinawanyima haki ya kutangaza?
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.
Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.
Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!
Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.
Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.
Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947
Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950
Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Mbona hujibu swali mkuu? Tunachokizungumza hapa ni uhalali wa wao kufukuzwa na haki yao Kama chombo cha habari. Je walichofanyiwa TBC si uvunjivu wa Uhuru wa vyombo vya habari.?..waruhusiwe kurekodi mikutano ijayo ya CDM.
..lakini kile walichokuwa wakifanya kilikuwa KERO na MAUDHI kwa watazamaji.
..kiliwachafua TBC kuliko hata CDM.
Jisemee wewe na ukoo wako mkuu sio wote wanaipenda ccmUkweli umedhihirika watanzania awaitaki tena chadema.
Mkuu acha kutetea upumbavu. Hata kama wewe ni ccm tumia hata akili kidogo ili uone aibu unachokitetea. TBC walikuwa wanakera mno. Ningekuwa nina uwezo ningefukuza wafanyakazi wote.Kwanini hawatakiwi watangaze mikutano ya vyama vingine na nani huyo asiyetaka watangaze?
Hujui kuwa marufuku yoyote ya kuwakataza wasitangaze mkutano wa chadema tafsiri yake ni kuwanyima haki wao kama chombo Cha habari na pia kuwanyima haki wale wanapenda kupata habari kupitia chombo hicho ata Kama ni wawili?
Mbona hujibu swali mkuu? Tunachokizungumza hapa ni uhalali wa wao kufukuzwa na haki yao Kama chombo cha habari. Je walichofanyiwa TBC si uvunjivu wa Uhuru wa vyombo vya habari.?
Kama ingekuwa ni kero kwa watazamaji ni jukumu la hao watazamaji kuhama kituo na si Chadema kuwafukuza kwasababu tunaweza sema ule ndio weledi wao wa habari na weledi wao hauwanyimi haki ya wao kurusha matangazo kwasababu bado Kuna watanzania wenye haki ya kupata habari wanaopenda kutazama tbc hivyo hivyo hata kama weledi wao ni mdogo.
Wewe jamaa mahaba yako kwa ccm yanakufanya kuwa taahira. Mbona bwana yule huwa hadi anatukana kabisa, kuita wateule wake wapumbavu lakini huwa hawazimi sauti wala kufanya walichofanya leo? Acha kutetea ujinga.Mbona hujibu swali mkuu? Tunachokizungumza hapa ni uhalali wa wao kufukuzwa na haki yao Kama chombo cha habari. Je walichofanyiwa TBC si uvunjivu wa Uhuru wa vyombo vya habari.?
Kama ingekuwa ni kero kwa watazamaji ni jukumu la hao watazamaji kuhama kituo na si Chadema kuwafukuza kwasababu tunaweza sema ule ndio weledi wao wa habari na weledi wao hauwanyimi haki ya wao kurusha matangazo kwasababu bado Kuna watanzania wenye haki ya kupata habari wanaopenda kutazama tbc hivyo hivyo hata kama weledi wao ni mdogo.
I was home watching.... Bora wamefukuzwaNasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa vyombo vya habari basi wangeacha TBC warushe mkutano wao kwa Uhuru bila ya kushinikizwa kufanya hivyo kwa matakwa ya CHADEMA.
Ifahamike kuwa TBC ni chombo Cha habari Cha Taifa hivyo basi hakiwezi kurusha matamko yoyote yenye viashiria vya kueneza Chuki na uvunjifu wa amani. Ni lazima wafanye uchambuzi wa kipi kinayakiwa kiwafikie watanzania sasa matamko ya viongozi wa CHADEMA hayakuwa mazuri.
Mfano ni Tundu Lissu alikuwa akisema haya.
"Kama wanategemea tutajitoa kwenye Uchaguzi huu, hilo wasahau. Kwenye kila mkutano wetu wa kampeni, wananchi nchi nzima muanze mikutano kwa maandamano ya amani kudai wagombea wetu warudishwe bila masharti yoyote. Watanzania msikubali kukaa kimya tena,"
"Tunaziomba Jumuiya za Kimataifa zituunge mkono katika jambo hili la kupigania wagombea wa vyama vya upinzani ambao wameunguliwa kwasababu za kihuni maana jambo hili ni kinyume pia na sheria za kimataifa.."
Rais Magufuli aliwaambia wasimamizi wa Tume ya uchaguzi, ambao ni wateule wake, “Siwezi kuwalipa mishahara mikubwa na magari mazuri, halafu mkatangaze wapinzani kuwa washindi kwenye uchaguzi.” Haya ni matokeo ya maelekezo hayo!
Sasa Chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kutangaza kauli za namna hiyo popote pale dunia sio kwa Tanzania tu pekee.
Mhe Mbowe alienda mbali zaidi na kusema kuwa hawana haja ya kunadi Ilani ya uchaguzi badala yake wanatakiwa wananchi wakadai haki, alipoanza kudai kuwauliza watu kuwa wangapi wapo tayari kwenda kudai haki ndipo hapo TBC wakakata matangazo walipo rudi hewani mhe Mbowe akawapa dk 15 waondoke kwenye mkutano wao.
Je huu Uhuru wa vyombo vya habari tunao upogania ni upi hapa ikiwa hawataka kuviacha vyombo vya habari vitangaze kulingana na weledi wao ? Kwanini walitaka TBC watangaze kwa matakwa ya CHADEMA tu?.View attachment 1550947
Katika hili CHADEMA mnajiharibia wenyewe.View attachment 1550950
Je hiki walicho kifanya leo CHADEMA hakijawanyima haki watanzania kupata habari? Huu sio ukandamizaji wa vyombo vya habari?
Ila kwa matakwa ya ccmWanatakuwa wafanye kazi kwa Uhuru siyo kwa matakwa ya CHADEMA