HOJA HURU: Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhimu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi

badala yake idadi ya walionao imekuwa kubwa tunategeshea takwimu za watu ambao wanatumia dawa ipasavyo ili wasiambukize ona Sasa Leo hii mkoa Mmoja watu zaidi ya elfu 60 wanamambukizi vipi mikoa mingine wote hao wakikosa dawa madhara yake ni kupoteza watu wengi kwa kipindi kifupi..

Namlaumu alieleta Dawa za ARV Leo hii HIV isingekuwepo ingekuwa Rahisi kuepuka nayo watu wangekuwa makini katika kutumia kinga hata Ngono zembe zisingekuwepo.

Moderator thread hii ibaki yenyewe bila kuunganisha Wala kufutwa ni mjadala huru namlaumu uwepo wa ARV kwa miaka tangu kirusi cha HIV kinguliwe dawa zisingekuwepo Leo hii HIV isingekuwepo hata watu wangekuwa makini Sana na magonjwa haya kuambukiza kwa njia ya NGONO..
 
Unaleta mzaha na dhihaka si ndio?
 
Stori yako ina funza

Na wachawi wengi wangeshaishia wasingeendelea kuroga na kuharibu maisha ya watu ambao ni innocent na honest.
Mie wanaonea huruma wale ambao walipata maambukizi kwa bahati mbaya na wale ambao hawana baya na tu yeyote, wachawi hao Mungu awalipe tu kama alivyoahidi na kusema “ asiachwe mwanamke Mchawi kuishi” maana yake afe, auliwe, auwawe. ?!
 
Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi

badala yake idadi ya walionao imekuwa kubwa tunategeshea takwimu za watu ambao wanatumia dawa ipasavyo ili wasiambukize ona Sasa Leo hii mkoa Mmoja watu zaidi ya elfu 60 wanamambukizi vipi mikoa mingine wote hao wakikosa dawa madhara yake ni kupoteza watu wengi kwa kipindi kifupi..

Namlaumu alieleta Dawa za ARV Leo hii HIV isingekuwepo ingekuwa Rahisi kuepuka nayo watu wangekuwa makini katika kutumia kinga hata Ngono zembe zisingekuwepo.

Moderator thread hii ibaki yenyewe bila kuunganisha Wala kufutwa ni mjadala huru namlaumu uwepo wa ARV kwa miaka tangu kirusi cha HIV kinguliwe dawa zisingekuwepo Leo hii HIV isingekuwepo hata watu wangekuwa makini Sana na magonjwa haya kuambukiza kwa njia ya NGONO..
 
Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 2
Japo wenye Ukimwi wengi wanapenda kuusambaza kwa wasio nao; haina maana kwamba dunia (Tanzania ikiwemo) haiwahitaji wenye HIV waendelee kuishi miaka mingi.

Kuna economic advantage wenye ukimwi waendelee kuishi.

Fikiria serikali imesomesha mtu mpaka chuo kwa mkopo, halafu mtu huyu akiwa na miaka 25 akapata Ukimwi. Ukimuacha afe kisa hujampa ARV hiyo itakuwa ni madhara kwa uchumi wa nchi.

Kwahiyo kiongozi mwenye akili utajikuta kwamba una subsidize ARV ili zigawiwe bure ili wenye ukimwi waishi walau miaka 20 wakishiriki shughuli za kiuchumi na kulipa kodi.

Japo issue ya wenye ukimwi kuusambaza kwa makusudi inabaki kuwa policy puzzle but bado ukiniuliza naona ARV has got big positive impact
 
Nyuma ya hili huenda Mwenyezi Mungu ako na makusudi yake.
Huenda kuna funzo kwetu binadamu au kama nchi na pia Pengine kuna kundi la waharifu wa maisha ya watu anataka liondoke ili walio honest walau waishi bila kuonewa na adui wala mtesi yeyote.
Ngoja tuone na kuzidi kumuangalia yeye Mungu pekee mwenye kujua hatima ya kila binadamu.
 
Kuna mabint walibakwa
Kunawanawake na wanaume wakipewa na. Waumezao wa ndoa ni hakiyao kufa?
 
Umewahi kuwa na AIDS/UKIMWI?Walioupata ndiyo naamini wanajua umuhimu wake hizo ARVs.Kiatu humbana aliyekivaa.
Hakuna umuhimu kama walionao bado wanaendelea kuambukiza vipi mnataka watanzania wote wawe na AIDS ili baada ya siku wasitishe ARV wafe wote?

Tangu 1997 Hadi Sasa Dawa zisingekuwepo AIDS isingekuwepo kabisa kwanza watu wangekuwa makini Sana na mambo ya Afya wangeona umuhimu wa kujikinga n.k ndani ya miezi mwenye UKIMWI angekuwa ameshafamika.

Njombe watu zaidi ya elfu 60 wAnaambikizi mwaka 2022/23 zaidi ya watu elfu 22 wamepata maambukizi mapya huoni ni hatari? Hii kwa Taifa lenye watu zaidi ya milioni 50 vipi kwa mikoa mingine? Vipi kwa wale ambao hawajaenda kupima? UKIMWI hautaisha kama jitihada za maksudi hazitafatwa
 
Mnataka AIDS iwepo/ Iendelee kuwepo au mnataka isiwepo kabisa?

Ao waliowabaka ndio chanzo cha kueneza ugonjwa huo wasingepata Dawa wangekuwa wameshakufa wote hata hao wasingebakwa na kuenezwa
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom