HOJA HURU: Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhimu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote

Ugonjwa huu umeingia lini nchini Tz? Dawa za Arv zimeanza lini kutolewa Tz? Kwanini sasa ugonjwa haukuisha kwa kuwauwa wote waliokuwa nao kabla Arv hazijaanza kutolewa Tz? Ingawa mimi sio mtu wa afya ila mwenzangu umezidi, Huna uelewa wa ugonjwa huu kabisa. Uonewe huruma na kupewa elimu zaidi.
 
Tatizo ukimwi sio maralia useme inaua baada ya siku 7, ni ugonjwa wa muda mrefu kiasi kwamba hata hizo ARV zisingekuwepo bado watu wangeendelea kuambukizana kama kawaida na ugonjwa ungekuwepo kama kawaida.
 
Tacaids yenyewe kama haipo miaka hii tangu ARV zianze kazi.
Hawatoi elimu tena wala nini.
Kama mtu anaweza kuzaa na kuishi miaka 25 bila shida akipata HIV, maana yake HIV is no longer a threat to humanity.

Kinachowatesa wadau ni kuuchukia tu Ukimwi. Inawezekana wengi mkipewa jukumu la kuongoza nchi mnaweza kuua wenye ukimwi wote, hiyo sio good policy wala right thinking
 
Nakumbuka kuna daktari mmoja anaitwa Dk Msigwa niliona siku moja anahojiwa Channel Ten akawa anasema ameshatengeneza dawa ya UKIMWI.
Nadhani sasa ataanza kusambaza
 
Na walioambukizwa kwa bahati mbaya, watoto, ajali, kupewa damu nao wafe? Tatizo lako unafikiria ni watu wa ngono tu! Wewe laani aliyetengeneza HIV maabara.
 
Una point mwanawane....wangekuwa wameshajkfia long time saa hii tungekuwa tunaenjoy tuu mbususu bila miwaya
 
Na walioambukizwa kwa bahati mbaya, watoto, ajali, kupewa damu nao wafe? Tatizo lako unafikiria ni watu wa ngono tu! Wewe laani aliyetengeneza HIV maabara.
Dunia haiko fair, the quicker u make peace with that the better ur life will be.
Tunaishi kwenye dunia isiyokuwa na haki...na tukio lisiotazamiwa umkuta mtutu yoyote yule as longa as ni binadamu.
 
Usiongelee ukimwi tuu, sema hakukuwa na umuhimu wa kutafuta tiba za magonjwa yote toka zamani hivyo duniani kusingekuwa na wagonjwa wangekuwepo wazima tuu. Acha kubagua gonjwa moja tuu. Sioni kwanini wagonjwa wa gono na kisonono wapewe dawa halafu wa ukimwi wanyimwe.
 
Kila kitu kinabidi kuwepo

Je kama nimezaliwa na ukimwi ninabidi kufa sio?
 
ARV ndio zinasababisha maambukizi yapungue ,anayetumia kwa usahihi haiwezi kuambukiza
 
true man!!.....
 
Dah! Wapo watu wengi wenye ukimwi ambao ni tegemeo ktk jamii, pengine hat ndugu yako mpendwa na wa karibu unaweza kukuta anayo, so wafe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…