HOJA HURU: Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhimu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote

Hivi kuna familia ya kitanzania au tuseme ukoo ambao haujawahi guswa na hili li pandemic...
 
Mimi sijaona umhimu wa amri inayokataza kutoua hivi tukiua majinga kama wewe SI tutafika mbali kimaendeleo?
 
Nimejaribu kuwaza circle ya huyu mwamba sijamwelewa kabisa. Je ukipata virusi unakufa mda huo huo hu survive hata kidogo you won't sex kwa kujua au kutokujua anyway mawazo ya mtu ndo akili yake
 
Kuna kipindi kuna nchi ulaya iliamua kuua wajinga wote wa aina yao ili kutoa kizazi kibovu,kama lingefanyika hapa usingepona.Unachowaza hakiwezekani kiuhalisia sababu ili HIV ibadilike kuwa AIDS bila hata ya mtu kutumia dawa,inachukua miaka mitatu mpaka 8 inategema kinga za mtu,so dawa zisingekuwepo watu wangeendelea kuambukizana sababu wenye HIV wataendelea kuambukiza huku watu wakifocus kuwaogopa wenye AIDS,wakati wenye AIDS wanakufa,HIV ndo wanakuwa wanaingia to AIDS.huo mzunguko ungeendelea.nguvu kazi ya taifa ingeshuka sana
 
Tujitahidi kupeleka watoto shule.
 
Trully hujaendsa shule. Kasome epidemiology of diseases.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…