Pensador
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 499
- 973
Habari wanajamvi,
Mnamo majira ya saa tatu asubuhi ya leo nimepokea simu namba ngeni ya mtu ambaye alijitambulisha kama mhudumu wa wateja kutoka Vodacom.
Basi nikamsikilizaa na alikua akiuliza kama kuna muamala umeingia kimakosa katika simu yangu, kwa haraka haraka nikashtuka na kumwambia kama yeye yupo vodacom aangalie hukohuko kwanini aniulize mimi?
Kitendo cha kumwambia hivoo akagundua nimemshtukia kuwa analengo la kunitapelii aiseeeeee! Huyu mshenzii kutukana matusi sijui ni ya sayari ipii mpaka nikabakii kuskiliza wee mwisho akakata simu.
Swalii: Hivi hawa jamaa wanajiamini nini kuwa wanatoa matusi makali na wakati wao ndo wakosaji hapaa? Na je, hivi tunavotuma namba hizi katika mitandao husika huwa wanatafutwa na kuwajibishwaa au wameshajua kuwa hutuna cha kuwafanya?