Hoja kuhusu matapeli wa mtandaoni ambao wakishagundulika hutoa matusi makali

Hoja kuhusu matapeli wa mtandaoni ambao wakishagundulika hutoa matusi makali

Hao ni matapeli; walishawahi kunipigia, waliponiuliza kwenye simu unasalio kiasi gani; nikawajibu nina bilioni moja...kilichofuata walishusha matusi na kukata simu.
Ninachohisi, hizo laini zitakua hazijasajiliwa kwa jina lao; kwa hiyo kama ni kuwa-track kwa mfumo, utapata 'location' tu
Mamlaka husika haipo serious na hao jamaa , hasa polisi kitengo cha cyber crime.
Ingekuwa ni kesi ya jinai na ina dalili za wao kupata pesa mtuhumiwa angekamatwa .

Simu inapopigwa kwenda popote inaacha footprints za location, imei number pamoja na simcard number, maana yakw ninkuwa hata kama utatumia namba mpya kutukana then ukatuoa laini , watu wa mtandao wanaweza ku track imei number ya simu na wakajua simu hiyo kwa muda huo inatumia laini , ipi, unless hao matapeli wawe wanatupa simu wanazotumia kutapeli
 
IMG_2290.png

Kuna uyu kajifanya mjanja [emoji23][emoji23] na Mimi sijamchelewesha
 
Back
Top Bottom