Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mmoja alinipigia huku nimeshapuliza vitu vyangu alianza kutukana nikawa na mimi natukana bila kuweka hata nukta na kwa sauti kubwa akakata simu yaani tusi lolote tu naunganisha. Kumpigia tena iliita mara moja halafu akakata akaniblock mazima.
AsanteeHahah polee[emoji23]
Ni kweli wanatukana sana. Mimi walinipigia nilikuwa kikaoni, nikaona missed call baadae nikawapigia. Akaanza niset. Niliposhtuka jamaa alinitukana sana. Serikali itusaidie, yule jamaa kama angekuwa karibu yangu na matusi aliyonitukana. Ningepata kesi ya mauajiUshawahi pata hasira mpaka unastack...laiti kama angekuwa karibu sina hakika ingekuaje
[emoji23][emoji23]Ni kweli wanatukana sana. Mimi walinipigia nilikuwa kikaoni, nikaona missed call baadae nikawapigia. Akaanza niset. Niliposhtuka jamaa alinitukana sana. Serikali itusaidie, yule jamaa kama angekuwa karibu yangu na matusi aliyonitukana. Ningepata kesi ya mauaji
Hahaa sio kwa matusi ya hawa jamaa alafu ukizingatia ni mission impossible![]()
Hao wanakamatika tu kirahisi ni wenye mamlaka tu hawajaamua kutatua hilo tatizoHao ni matapeli; walishawahi kunipigia, waliponiuliza kwenye simu unasalio kiasi gani; nikawajibu nina bilioni moja...kilichofuata walishusha matusi na kukata simu.
Ninachohisi, hizo laini zitakua hazijasajiliwa kwa jina lao; kwa hiyo kama ni kuwa-track kwa mfumo, utapata 'location' tu
Huyu jamaa ana njaa hatari leo sijui kapigia wangapi..[emoji23] kanipigia tukaenda sawa akakata simu na bonge la msonyo namba yake hii hapa 0672059349Habari wanajamvi,
Mnamo majira ya saa tatu asubuhi ya leo nimepokea simu namba ngeni ya mtu ambaye alijitambulisha kama mhudumu wa wateja kutoka Vodacom.
Basi nikamsikilizaa na alikua akiuliza kama kuna muamala umeingia kimakosa katika simu yangu, kwa haraka haraka nikashtuka na kumwambia kama yeye yupo vodacom aangalie hukohuko kwanini aniulize mimi?
Kitendo cha kumwambia hivoo akagundua nimemshtukia kuwa analengo la kunitapelii aiseeeeee! Huyu mshenzii kutukana matusi sijui ni ya sayari ipii mpaka nikabakii kuskiliza wee mwisho akakata simu.
Swalii: Hivi hawa jamaa wanajiamini nini kuwa wanatoa matusi makali na wakati wao ndo wakosaji hapaa? Na je, hivi tunavotuma namba hizi katika mitandao husika huwa wanatafutwa na kuwajibishwaa au wameshajua kuwa hutuna cha kuwafanya?
Siku nyengine punguza kiherehere..😂🤣🤣🤣🤣 imenitokea juzi. Nikaukizwa kama kuna hela imeingia nikajibu ndio. Sh ngapi...650,000 yakafata matusi ya nguoni kabisa. Sijui nilikosea nini
duh hivi kuna watu wanatype kam hivi 2022?Me mzigua mmoja kanipia sim juzi akisema eti yu kutoka voda huduma KWA wateja na kaniambia kuna mtu kakosea kutuma pesa imeingia kwenye account yangu kaniuliza una sh ngapi nkamjibu laki tatu[emoji4] akajua kapata mtoto wa mtu aliye kimbia kukuketwa na mjini kafika jana[emoji849] BWANA weee tukapangana MWISHO wa siku tukashindwana kaanza kunitukana nami sikumbakisha nikamnawa[emoji57][emoji57] harafu nikata kapiga katumia namba nyingine ananiambia umenitukana matusi nimemind[emoji849][emoji1787] mara kaanza oh me sipendi utaperi ILA ni maisha tu na naomba nikuoe me ni mzigua kutoka tanga na nikikuoa utaperi nitaacha tukapiga story mbili tatu na mzigua wangu mpaka tukawa marafiki wa siku MOJA
Huo si utapeli ulioufanya, bali ulimua kujichukulia chako mapema.Mm mwenye nna Uzi wangu jinsi tulivyowatapeli wabunge wa ccm 2020 baada ya bunge kuitimishwa july mosi kuelekea uchaguz oct28 2020
Nitashusha Uzi huo soon