Hoja kuhusu matapeli wa mtandaoni ambao wakishagundulika hutoa matusi makali

Mamlaka husika haipo serious na hao jamaa , hasa polisi kitengo cha cyber crime.
Ingekuwa ni kesi ya jinai na ina dalili za wao kupata pesa mtuhumiwa angekamatwa .

Simu inapopigwa kwenda popote inaacha footprints za location, imei number pamoja na simcard number, maana yakw ninkuwa hata kama utatumia namba mpya kutukana then ukatuoa laini , watu wa mtandao wanaweza ku track imei number ya simu na wakajua simu hiyo kwa muda huo inatumia laini , ipi, unless hao matapeli wawe wanatupa simu wanazotumia kutapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…