Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #61
Anha. Wewe una mguu wa bia?Hahahhahaha me mwanamke jaman nivutiwe VIP bana
Mashallah hakika nimejaaliwa.Anha. Wewe una mguu wa bia?
Naomba nikuone nijiridhisheMashallah hakika nimejaaliwa.
Mashallah hakika nimejaaliwa.
Nawajua vizuri tuHakika utakua umejiopolea jiko la kichaga..
Sidhani kama aliyeleta thread ni mchaga!Sawa tutawatembelea meku!!...
Imewekwa kidogo katizameaina ya miguu ya bia iwekwe hapa tuangalie
Umeishi uchagani lazimaNawajua vizuri tu
Hujaziona mkuu?Picha plzzzz
Pictures tayari sasaSawa mkuu uzi kama huu bila picha
hilo halina shaka ndio maana unaona sipingi utafiti wakoUmeishi uchagani lazima
Na mtuacheeeeeekwani uongo, wanawake wengi wa kichaga wana miguu spoko afu juu wametuna
Sawa mkuuhilo halina shaka ndio maana unaona sipingi utafiti wako