Hoja kwamba hakuna wasichana wa kichaga wenye miguu ya bia ni uongo na udhalilishaji

Hoja kwamba hakuna wasichana wa kichaga wenye miguu ya bia ni uongo na udhalilishaji

Mh ni kweli sr zangu wengi huku juu mashallah,unavozidi kushuka mwenzangu nadhani Mungu alikuwa na makusudi maalum kuwaimarishia mwendo!
 
Miguu ya bia wapatia wapi wakat wote wafukuzana na pesa za dhulma,
 
Hizo picha mbili za mwisho ni ngumu sana kuamini kama ni wachaga kwa kuangalia tu.
 
Hahaha hakuna ubishi wachaga wengi sura inaita sana.sema maumbo yao wengi yametengenezwa kwa pima maji.
 
Back
Top Bottom