Hoja kwamba hakuna wasichana wa kichaga wenye miguu ya bia ni uongo na udhalilishaji

Hoja kwamba hakuna wasichana wa kichaga wenye miguu ya bia ni uongo na udhalilishaji

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Kumekua na kamsemo na mazoea ya kusema kuwa, wadada wa kichaga hawana miguu adhimu ya bia na kwamba wanatembelea mikono

Kimsingi huu ni uongo na udhalilishaji kwani wapo warembo lukuki wa kiichaga wenye miguu ya aina hiyo.

Uchagani kumejaa warembo wa hadhi ya juu sana wenye maumbo mazuri pamoja na rangi adimu nyeupe.

Tatizo wengi tunaishi kwa mazoea kuaminishwa kuwa hakuna wachaga wenye miguu ya bia.

Wengi wanaosema hivyo hawana hata uthibitisho...tuache kudhalilisha warembo wa kichaga ambao kwa kiashi kikubwa ndo wanalipamba taifa hili.

Miss Chagga ni moja ya warembo wa kichaga wenye shape matata, rangi ya dhahabu na miguu ya bia..

Tembelea Moshi ujionee warembo...

Elizabeth Michael ni moja ya warembo wa kichaga waliojaliwa mguu

30abb55da83701a388505511808d17c3.jpg


efe40165919625a858f7c450aaea8f72.jpg


5856c5e64b68b8d76812320ea2d3a21c.jpg


Mifano mingine ya miguu ya bia

c9fa173e3c4fac09a47f90fef1f5713f.jpg

eb1611ac8c2a674b6c68938b03d7d3da.jpg
 
Kwani kuwa na miguu myembamba ni udhalilishaji mbona tupo wengine huo ndio ugonjwa wetu,kwanza mie ya miguu ya bia wala siipendi kabisa na mtu akiwa na miguu myembamba ndio mrembo kwangu..
 
Sio udhalilishaji, mbona wachina wanasifika kwa macho madogo, kuna mikoa ukienda watu warefu ni adimu unaweza kuta kijiji kizima wanahesabika . Kuna vijii ukienda kila mwanamke apitaye nyuma lawama vimbaumbau wa kuhesabika, Hiyo wachaga Ndio sifa yao kuu wana rangi nzuri, sura lakini miguu.,...........
 
Kwani kuwa na miguu myembamba ni udhalilishaji mbona tupo wengine huo ndio ugonjwa wetu,kwanza mie ya miguu ya bia wala siipendi kabisa na mtu akiwa na miguu myembamba ndio mrembo kwangu..
mkuu si unajua kila mtu ana definition yake ya urembo?
 
wale ni simba wa nyika ila boobs wamejaaliwa
 
Back
Top Bottom