Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Thread was deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Bora hao wakristo wanna shobo na taifa la Israel.Huwa napatwa na ukakasi kwenye hili swala
Kwa takwimu rasmi....wafuasi wa dini israel ni kama ifuatavyo
Sasa kwanini yakianza kuongelewa ya Israel, wa Israel wa bongo wanajifanya wana uchungu juu ya mada tajwa kushinda namba mbili hapo juu ilhali wakristo wenyewe wa taifa tehule hawana huo uchungu
- 74.2% Judaism
- 17.8% Islam
- 2.0% Christianity
- 1.6% Druze
- 4.4% Others
Au tuseme idadi kubwa ya watu israel hawautak huo utaifa u-teule....
Hoja tayar
Uzi tayar
Nawasilisha....
Over
Jikite kwenye mada.Ni Bora hao wakristo wanna shobo na taifa la Israel.
Kuna watu wakimwona mwarabu wanaona ndio mtume kabisa.
Ukitaka kukosana mwongelee mwarabu kwa ubaya
Kama wewe ni Ke basi hakuna tabu ila kama wewe ni Me basi ni aibu kubwa kwa mwanaume kutumia neno "Nasikia" hili neno limekaa kimbea mbea sana,JF hatuendi kwa "Nasikia" bali kwa fact.wayahudi na wakristu wanaunganishwa na agano la kale mkuu. Naskia hata maalimu Sheikh Ponda akitua leo Saudi Arabia au Qatar ataitwa mtumwa
mbona na wewe umelitumia?Kama wewe ni Ke basi hakuna tabu ila kama wewe ni Me basi ni aibu kubwa kwa mwanaume kutumia neno "Nasikia" hili neno limekaa kimbea mbea sana,JF hatuendi kwa "Nasikia" bali kwa fact.
Cha ajabu umeisoma na uka comment!Moja ya nyuzi za kishenzi kabisa!
Mada za kidini hizi ila hizi dini mbili uislam na uarabu hii maana yake ni kujipendekeza?Huwa napatwa na ukakasi kwenye hili swala
Kwa takwimu rasmi....wafuasi wa dini israel ni kama ifuatavyo
Sasa kwanini yakianza kuongelewa ya Israel, wa Israel wa bongo wanajifanya wana uchungu juu ya mada tajwa kushinda namba mbili hapo juu ilhali wakristo wenyewe wa taifa tehule hawana huo uchungu
- 74.2% Judaism
- 17.8% Islam
- 2.0% Christianity
- 1.6% Druze
- 4.4% Others
Au tuseme idadi kubwa ya watu israel hawautak huo utaifa u-teule....
Hoja tayar
Uzi tayar
Nawasilisha....
Over
Ngoja waje wale mayahudi weusi wa Nzega huenda wakawa na majibu.
Yesu si hana baba au huko ni matrilinia ,ukoo kwa mamaHuwezi kuongelea Yesu kristo bila kuutaju ukoo wake..ambapo ibrahimu..Yakobo..Yesse..Mfalme Daudi..nawengineo wengi wanahusika..
#MaendeleoHayanaChama
Hio nayo hoja?Moja ya nyuzi za kishenzi kabisa!