HOJA: Kwanini Wakristo wanajinasibisha/wanajipendekeza kwa Israel

HOJA: Kwanini Wakristo wanajinasibisha/wanajipendekeza kwa Israel

JESUS FIRST JESUS FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST

IF YOU DON'T LOVE JESUS WHO THE HELL WILL YOU LOVE

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

JESUS IS GOD
 
Huwezi kuongelea Yesu kristo bila kuutaju ukoo wake..ambapo ibrahimu..Yakobo..Yesse..Mfalme Daudi..nawengineo wengi wanahusika..

#MaendeleoHayanaChama
Mna uelewa mdogo sana wa haya mambo...

Yesu yu pamoja na Wayahudi kwa sababu za ethnic background lakini sio kwa sababu za kiimani!! Hawa wate ni Wayahudi kwa UZAWA na sio KIIMANI

Wakristo wapo pamoja na Yesu kwa sababu za Kiimani na sio ethnic background kwa sababu Mkristo HAWEZI KUWA JEW kama ambavyo Mchaga hawezi kuwa Msukuma au kama ambavyo Mnyakyusa kuwa Mmakonde!!

Mkristo mbele ya Myahudi (Kiimani) anaonekana sawa na Mwislamu anavyoonekana mbele ya Mkristo!! Kama ambavyo nyie mnavyomuona Muhamadi ni Shetani tu ndivyo Myahudi anavyomuona Yesu!

Kwa waendekeza dini mngekuwa sahihi endapo wale akina Netanyau wangekuwa ni Wakristo lakini akina Netanyau wanauona Ukristo ni dini ya kishetani tu kama ambavyo Wakristo wanavyouna Uislamu!
 
JESUS AND ISRAEL FIRST

JESUS AND ISRAEL FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

JESUS IS GOD
 
Kwa mujibu wa biblia Mungu aliliteua taifa la israel kua taifa teule.na hilo lilijidhihirisha miaka mingi iliyopita na hatujui uko mbele itakuaje.kwahiyo usichangaywe na takwimu za idadi ya watu au dini zilizoko nchi ya israel kwa sasa kwasababu hiyo inatokana na muingiliano wa watu.Taifa ni kitu kikubwa kuliko nchi.kwahiyo Mungu alizungumzia Taifa nasio nchi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Well wanaofanya hivyo ni Imani yao..., if anything ni vigumu sana kupinga kitu anachokiami mwingine (sababu hio ni imani yake) to him/her that is the truth...

kwahiyo kwenye uwanja wa Imani to each his / her own...
 
Ni kama vile tu waislamu hapa nyumbani wanavyojitesa kuvaa kanzu na mahijabu wakidhani ndio dini yenyewe kumbe ni utamaduni tu wa waarabu.
 
Huu uzi ni mada ya kufikirika japo umekaa kidini zaidi
Ichambuzi wako mtoa mada umekuwa mfupi sana kiasi kwamba hauna mashiko na ndio maana kila comment hapa unajibiwa kwa mzaha zaidi
UDINI UDINI UDINI
Napendekeza huu uzi ufutwe!
 
JESUS AND ISRAEL FIRST

JESUS AND ISRAEL FOREVER

IN JESUS WE MUST TRUST

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

JESUS IS GOD
Is like you're struggling to prove something to me...

Do you think I care what you believe or what you don't?

Dude...

...The last thing I'm gonna do in my life is to challenge other people's faith, so you don't have to try that harder...
 
Ni kama vile tu waislamu hapa nyumbani wanavyojitesa kuvaa kanzu na mahijabu wakidhani ndio dini yenyewe kumbe ni utamaduni tu wa waarabu.
Yesu alikua akivaa mavazi gani?
 
Back
Top Bottom