Hoja: Ushabiki wa mpira wa miguu una asili ya ushetani

Nimekusoma! Maswali kidogo:

1. Watu wenye ndoa wengine wanajiua, je Ndoa ni ushetani?
2. Yesu hakucheza mpira, je simu, gari kompyuta yesu hakuvitumia, je kuwa navyo ni ushetani
Una akili sana
 
Kwahyo basketball wanachezea mpira uliojazwa upepo kwa mikono ila hyo sip dhambi sababu wanabariki kazi za mikono yao?
 
hata wale wapiga penati wa jana wengi walikua wa shetani maana anamdanganya kipa anapiga huku halafu anaoiga uopande mwingine yaani uongo kweupeee tena ukitazamwa na dunia nzima
 
Mpira unaojazwa upepo si huu wa miguu pekee, rugby, netball, American football, basketball, baseball nk. Mpwa kajipange upya
 
nikiwaona watu watatu tu hai waliozaliwa 1863 nitakubaliana na hoja yako!
 
Huna lolote, badala ya kutuambia chanzo hasa cha mchezo unatuletea historia ya kuanzishwa mpira na chama cha mpira uingereza! Usimsingizie Mungu ujuha wako.
 
Kumbe yakobo alicheza mieleka.......Hata sisi mtume wetu anatutaka watoto wa kiume wa dini yetu tuwe ngangali......Sasa tunapiga karate watu wanatupigia makelele wakati hata kina yakobo hawakua laini laini
Acheni kua laini laini nyinyi
 
Hivi Eden waliishi watu wangapi? Adam na Eva??? Mbona unaonyesha kulikuwa na watu wengi ( zaidi ya wawili)
 
Kumbe yakobo alicheza mieleka.......Hata sisi mtume wetu anatutaka watoto wa kiume wa dini yetu tuwe ngangali......Sasa tunapiga karate watu wanatupigia makelele wakati hata kina yakobo hawakua laini laini
Acheni kua laini laini nyinyi
Wale jamaa walikuwa watu wa kupambana kiimani & kimwili.

Ibrahim alikuwa ana jeshi lake kabisa JAPOKUWA kila usiku alikuwa anasema na Mungu wazi wazi kuliko hata sisi.
 
Hivi ingetokea hapa duniani hakuna magari halafu ukaenda sayari nyingine ukayakuta ungejisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…