Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

Mahari sio hoja ya jumla ni UTARATIBU WA kiutamaduni HUWEZI kuufuta kinachoweza futwa kirahisi ni mila
 
sio hoja ya jumla ni UTARATIBU WA kiutamaduni HUWEZI kuufuta kinachoweza futwa kirahisi ni mila
Yani ni kama kuwashauri wachaga wasiwe wanaenda uchagani kukutana mwisho wa mwaka kisa tu mambo yamebadilika hayo mambo yamepitwa na wakati🤦🏽‍♀️
 
Haijawahi kubadilisha kitu, ila muktadha wake ndo haupo tena.

Sasa hivi huwezi kujua nani kajitunza na nani hajajitunza.
Hakuna tatizo wanawake kufanya ngono, acheni ujima, muhimu watumie condoms tu wafanye mapenzi vizuri na wao wapate raha. Hayo mambo ya kujitunza na kutojitunza ni ujima wa wanaume ku control.
 
Ni risk kubwa watu kuoana kabla hawajaishi pamoja kwa muda, kujitunza na maadili ni porojo za watu wa dini, watu wazingatie condom tu wasomane kwanza.
 
We're getting free meals everyday wewe unasema no free lunch?
Free lunch wanapewa vijana wa mtaani halafu anakuja kijana anataka kusettle eti alipe 5m ili aoe mwanamke aliyetumika na wanaume wa kutosha.
Acha kutumia lugha ya kudhalilisha ya kishenzi, mwanamke kama hafanyi biashara ya ngono kujiuza huwezi kusema ametumika.
 
Maana ya mahari imepotea, zamani ilikiwa ni shukrani kwa wazazi kwa KUKUTUNZIA mke wako.Je hiko kilichokuwa KINATUNZWA,siku hizi kuna wahuni wanakila bure,mume anatoa mahali hakipati hiko kilicho tunzwa.

Kama jamii yetu tukubali tu tumekengeuka ila mahali ilikuwa na maana nzuri,ilikuwa inahamasisha uwajibikaji kwa wazazi kwenye kumlea na kumtunza binti yao, vilevile kwa binti ilikuwa inachochea yeye kujitunza,kabla ya kukutana na mmewe.
 
Hakuna tofauti yoyote katika mapenzi kwa mwanaume kati ya mwanamke ambaye hajawahi kabisa kufanya mpenzia na aliyefanya mapenzi na mtu mmoja, wawili, watano au kumi. Tuache ujinga, ni psychology yako tu iliyotokana na utamaduni na dini pamoja na inferiority complex hasa ukiwa masikini kapuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…