Tukiongelea mambo ya imani mnatupinga sana kwa kutaka logic itumike! Sasa mimi nikiwaaminisha huko kwetu naenda kutekeleza majukumu ndio nitatekeleza? Na nitatekeleza kisa mahari?ukoo kwamba binti yao anaenda kutekelezac jukumu kuu la maisha yake—kuwa mke(akiwa na vigezo tajwa)
Wanaweza kuchepuka ndani ya ndoa wakaliwa hata na boda, muuza bucha, mlinzi au shamba boy.Umeongelea upande mmoja vipi kuhusu waliotulia wenye mwanaume mmoja waliolelewa wakaleleka
Dah babu, this is beyond my understanding kwakweli! Sawa wacha tuone hizo free lunch zikitolewa mahari mpk 10m, na waliolelewa kutolewa 1m kushuka chini😝🤸🏽♀️We're getting free meals everyday wewe unasema no free lunch?
Free lunch wanapewa vijana wa mtaani halafu anakuja kijana anataka kusettle eti alipe 5m ili aoe mwanamke aliyetumika na wanaume wa kutosha.
Sijui hiyo tofauti wanaipataje mi sielewi kwakweli, ukalalale na wanawake wa mji mzima, umeamuwa kusettle kuja kuoa mimi nianze tena kupata headache! Kwakweli watu wanakosa mambo ya kuweka akilini..🤦🏽♀️Hakuna tofauti yoyote katika mapenzi kati ya mwanamke ambaye hajawahi kabisa kufanya mpenzia na aliyefanya mapenzi na mtu mmoja, wawili, watano au kumi. Ni psychology yako tu iliyotokana na utamaduni na dini pamoja na inferiority complex hasa ukiwa masikini kapuku.
Mkuu ungekuwa hapa karibu yangu ningekushika shati! Acha ubishi mkuu.Tukiongelea mambo ya imani mnatupinga sana kwa kutaka logic itumike! Sasa mimi nikiwaaminisha huko kwetu naenda kutekeleza majukumu ndio nitatekeleza? Na nitatekeleza kisa mahari?
Tena hao kuliwa na wachafu ni kugusa tu! Huo upwiru unavyokaba ukaanze kumtafutia mtanashati sio leo..Wanaweza kuchepuka ndani ya ndoa wakaliwa hata na boda, muuza bucha, mlinzi au shamba boy.
Ipo siku nitasogea unipige mtama😂Mkuu ungekuwa hapa karibu yangu ningekushika shati! Acha ubishi mkuu.
Bado hakuna guarantee kwamba itaidungua peke yako maana bado anatembea nayo mwenyewe mmiliki, hujakabidhiwa wewe mkononi.Sasa we si unakuwa unaidungua pekeako mkuu, wale wawekezaji wengine si ni shareholders tuu🏌🏽♀️
Tena kama mimi ndio simwelewi!Mkuu una hoja lakini kule vijijini km usukumani watakupopoa na mawe
Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu ntoji alitoa ng'ombe zaidi ya 60 na mbuzi na kondoo kibao kama mahali
Nilichoka
Dad's jamiii Kama hiyo uwape hii hoja yako?!
Hiiiii bhabha!
Sasa mtaishi kwa wasiwasi mpaka lini?😆Bado hakuna gurantee kwamba itaidungua peke yako maana bado anatembea nayo mwenyewe mmiliki hujakabidhiwa wewe mkononi.
Yote hayo yanaweza kutokea pia yasitokee lakini huwezi kuacha kufanya kitu kwa sababu ya kusema atakuja tu kufanya hiki ni kama mnaingia kwenye ndoa na hamjui mnaoa akina naniWanaweza kuchepuka ndani ya ndoa wakaliwa hata na boda, muuza bucha, mlinzi au shamba boy.
Sio utamaduni wa kijinga bali ilikuwa inachochea uwajibika,ndio hata idadi ya single mother ilikuwa ni ndogo mno, watu walikuwa wanadumu kwenye ndoa na hata jamii ilikuwa bora sababu kila mtu ni alikuwa anawajibika kwa mwanae.Halafu tokea kuumbwa kwa dunia mpaka sasa mwanaume hatokuja kuwa sawa na mwanamke, nazani unaona wanao lazimisha kuwa hivyo walivyokuwa na matatizo kibao ya kijamii.Hakuna tofauti yoyote katika mapenzi kati ya mwanamke ambaye hajawahi kabisa kufanya mpenzia na aliyefanya mapenzi na mtu mmoja, wawili, watano au kumi. Ni psychology yako tu iliyotokana na utamaduni na dini pamoja na inferiority complex hasa ukiwa masikini kapuku.
Vijana wanakuwa paranoid sana kuhusu mbunye tu😁, wangeweza kuzingatia hivi mambo mengine ya maendeleo tungekuwa kama Ulaya, China au Dubai sa hii.Sasa mtaishi kwa wasiwasi mpaka lini?😆
Kiufupi wapunguze kujiongeza, wanajiongeza sana! Maisha ndio hayahaya wapende wasipende! Wanajitahidi sana kubuni formula ila ndio haiwezekaniki tena!Vijana wanakuwa paranoid sana kuhusu mbunye tu😁, wangeweza kuzingatia hivi mambo mengine ya maendeleo tungekuwa kama Ulaya, China au Dubai sa hii.
Huyu mzee ànataka mabinti zetu vigoli tuwatoe buree kweli?Tena kama mimi ndio simwelewi!
Bhatoja mayo tobalelagi🙌🏾
Hahaha acha basiHivi unavutaga nini we jamaa?