Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

1Wakorintho 14:40 “Lakini mambo yote na yatendeke kwa UZURI NA KWA UTARATIBU”.
 

Kwahiyo usupolipa mahari umemchukua binti bila utaratibu hata kama mmekubaliana hivyo wewe na yeye na familia zote mbili kwao na kwenu? Tamaduni nyingi za kizungu hawalipi mahari. Wanatenda dhambi?
 
Kwahiyo usupolipa mahari umemchukua binti bila utaratibu hata kama mmekubaliana hivyo wewe na yeye na familia zote mbili kwao na kwenu? Tamaduni nyingi za kizungu hawalipi mahari. Wanatenda dhambi?
Unavyoenda kumposa binti kwa wazazi wake unaomba kupewa utaratibu wa kumuoa wa hiyo familia...unapeleka posa...unapangiwa mahari...unamlipia ndio una muoa ndoa kanisani

Ndio utaratibu wa kibiblia
ndio utaratibu wetu kama sio utaratibu wao ndio utaratibu wa imani yetu

unamwambia naomba utaratibu wa kulipa mahari...hii misamiati ya kumu ENGAGE...kuchumbia
DOWARY......mahari

ipo hata kwa wazungu..

NI sheria na taratibu zote..kukamilisha taratibu zote .
unawaambia wakupangie mahari...UOE kwa kulipa mahari...

Hamkubaliani nyie wawwili wewe na mchumba wako tu...huyo binti ana wazazi au ndugu zake au walezi wake.SIO mnachumbiana na kuoanan nwenyewe kwa wenyewe wawili tu bila kushirikisha wazazi kupata baraka za wazazi..

Hakuna familia ukiwaambia nataka kufuata utaratibu wote wa kumuoa kama ilivyo desturi...halafu wakwambie hatutaki mahari mchukue mtoto wetu bila mahari nendeni hatutaki mahari yako...na kama wakikataa mahari yako uliyeipeleka ..unaweza ukawaelewesha hii ndio taratibu ya IMANI yangu na jamii yangu..na ni shukrani na heshima yangu kwenu..watapokea kama zawadi..hakuna familia inakataa zawadi hata kama ni ndogo.

HUO NDIO UTARATIBU alioifuata hata baba wa Yesu wa duniani Yosefu alipomposa Mariamu mama wa Yesu.


Mungu wetu ni yule yule jana leo na milele habadiliki...utaratibu wa mahari haujafutwa.
 
unawaelewesha kuwa MAHARI ni utaratibu wa KIBIBLIA ni utaratibu wa IMANI yangu na Mungu wangu,hivyo naomba mpokee tu mahari yangu ,HAWEZI KUKATAA na lengo la wewe kufanya hivyo ili USITENDE DHAMBI.

KUTIKULIPA MAHARI NI DHAMBI .ambayo mwisho wa siku kama hutalipa mahari UTACHOMWA MOTO..kama huamini kama una ushuhuda wa watu waliopata maono ya kuzimu walionyeshwa kuna waliokufa bila kulipa mahari au kumalizia kulipa mahari yote wapo MOTONI WANAUNGUA kwa kosa hilo tu la kulipa mahari nusu bila kuikamilisha kumalizia au kutolipa kabisa mahari.

NDIO MAANA MIMI nakuhubiria hapa ili siku ukijikuta upo motoni unaungua moto kwa dhambi ya kutolipa mahari usishangae .
Haraka ya nini lipa mahari fuata utaratibu UOE kwa utaratibu..

tusiwe kama ngombe huwa wanajisaidia wanakunya huku wanatembea kwa vile wanaharaka.Kumbe wanajichafua na dhambi..huku wao wanafikiri ni ujanja...hakuna ufahari wala ujanja wa kuoa bila kulipa mahari sio sifa hiyo.
 
N'gombe huwa wanakunya mavi huku wanatembea bila kufuata utaratibu kwa vile wanaharaka sana.

na huo kwao ndio ujanja wanajiona wajanja sana kwa kuruka kitokufuata utaratibu.

na wanawao wajinga wanaofuata utaratibu....NDIO wanaume ambao wanajiona wajanja kutolipa mahari.
 
dowry==bride price /bride wealth.
 
Tatizo huwa unakosa reasoning ukija na zile red pill content zako.

Hebu jaribu kuandika kwa hoja na na bila ku-generalize kama huyu mzee hapa uone kama hatujachangia bila kukushambulia.
Exception ipo kwenye kila kitu lakini hatutumii exception kufanya generalization, mfano tukisema Tanzania ni nchi masikini haimaanishi wananchi wote ni masikini. Wapo matajiri wanaoweza kuishi kifahari hata uko kwenye nchi za dunia ya kwanza.

Kwahiyo kama nikisema wanawake wana asili ya ubinafsi au hypergamy, sio kwamba ni wanawake wote, lakini 95% wanaaingia kwenye hivyo vigezo
 
95%??

Naomba source ya hiyo takwimu au taarifa yako.
 
Aseme chanzo / source ya hicho alichokiandika hapo juu, nimekiquote pia hapa 👇🏽.

“nikisema wanawake wana asili ya ubinafsi au hypergamy, sio kwamba ni wanawake wote, lakini 95% wanaaingia kwenye hivyo vigezo”
 
Aseme chanzo / source ya hicho alichokiandika hapo juu, nimekiquote pia hapa 👇🏽.

“nikisema wanawake wana asili ya ubinafsi au hypergamy, sio kwamba ni wanawake wote, lakini 95% wanaaingia kwenye hivyo vigezo”
Hapo nishalewa kuona ni chenga tupu😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…