johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mmeshalegea, mliambiwa mkajidai vichwa ngumu hiyo ndio Chadema, kawachukueni muwapeleke lumumba.Imagine chadema bila hao wadada
Pole sana kwa kilichotokea, ndio matokeo ya sarakasi zenu za bila kutumia akili. Nyie ndio mnaosababisha Waafrika tuendelee kudharaulika na kuonekana wanyamaporiKwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaha! Bwashee alilala na Kanzu na makubasiBwashee ulikumbuka kuvua viatu au ulilala navyo.
Hahaha, bullparty?! HahahaImagine chadema bila hao wadada
Hahahaha! Bwashee alilala na Kanzu na makubasi
Mbowe anajua mpango mzima wa kina Mdee. Ila kwa vile ni mtu wetu na tumempa kazi yetu ya kukisambaratisha chama kama ilivyokuwa kwa NCCR ya Mrema basi hatuna budi kumpongeza kwa hatua anazochukua siku baada ya siku kukimong'onyoa. Bila Mbowe kuturahisishia kazi mwaka 2015 kwa kumchukua mwenzetu Lowasa akasaidie kukimong'onyoa na kukisambaratisha chama namna hii, basi leo hii huenda CCM tungekuwa chama cha upinzani maana ukawa before Dr Slaa na Lipumba watimke ilikuwa ni tishio kubwa sana kwetu. Imagine kufukuzwa hao wabunge 19 wenye ushawishi ndan ya chama, wataondoka na watu wangapi ndan ya chama ambao huenda hawatofurahishwa na kufukuzwa kwaoKwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Naona kufukuzwa kwa COVID-19 kutoka Chadema kuna trend kwa kasi kwenye forums za BBC, VOA & DW.Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa Mbowe alikuwa anaongea huku anaperuzi Jf.Bwashee ulikumbuka kuvua viatu au ulilala navyo.
Kwani hizo spea wanatupa bure au tunanunua?!Naona kufukuzwa kwa COVID-19 kutoka Chadema kuna trend kwa kasi kwenye forums za BBC, VOA & DW.
Which means rafiki zetu wazungu by now wameng'amua janja yote ya MATAGA regime.
Sasa sijui tutapata wapi spea za bombadia yarabi siye!
Chadema wameishiwa pumzi kwa kweli!Hiki chama cha mdebwedo bado wanasema eti ni imara kuliko wakati wowote ule
Corrections kwa sasa Mbowe sio KUB.Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Naona ncha kali imekuingia!Ukifanikiwa kujielimisha rudi hapa ufute hii takataka.