Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

Chama changu kinachezeshwa kwata na ccm. Hii hatua iliyochukuliwa na chama ilijadiliwa na upande wa pili.

Wakifutwa uanachama wadada wanakwenda mahakamani kupinga kufutwa,kesi inapigwa miaka miwili wadada wanarudishiwa uanachama wao, cdm watakatarufaa kesi inapingwa hukumu inatoka baada ya miaka mingine miwili au muda mfupi kabla ya uchaguzi 2025.

Ninasikitika kwa Chama changu kutokuona mgogoro huu kupitia intelijensia yake. Ni kweli kilichofanywa na hawa wadada kinaudhi ila tulikuwa wapi kama viongozi kuliona hilo, tetesi zilikuwepo muda mrefu mkapuuzia badala ya kuchukua hatua mapema. Au hatua mnazopenda kuichukua ndiyo hizi?

Na Ndugai ameapa kuwalinda kwa hiyo hakuna cha kuwatoa akina Halima Bungeni.
Hoja yako imekaa kipropaganda na ni ya kipuuzi,ulitaka wawafute kwa ramli kabla bila ushahidi?Hapa pana ushaid mnapiga domo la unajisi what if ingefanyika kabla?Achanen na hiz hoja za kitoto
 
kanuni haiwezi kuwa kuwa juu ya katiba. spika atamuapisha mbunge ndani ya bunge huku kikao cha bunge kikishuhudia.
chezeaa ndugai wewe anaweza kumuapishia hata kongwa kijini mtafanya nini kwani?wafadhili mabeberu watatoa tu hela kwamba kuna demokrasia
 
Wamekula kiapo bandia

Wamechezeshwa mchezo mchafu

Wanaapishwa gereji parking[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wabunge feki

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Chama changu kinachezeshwa kwata na ccm. Hii hatua iliyochukuliwa na chama ilijadiliwa na upande wa pili.

Wakifutwa uanachama wadada wanakwenda mahakamani kupinga kufutwa,kesi inapigwa miaka miwili wadada wanarudishiwa uanachama wao, cdm watakatarufaa kesi inapingwa hukumu inatoka baada ya miaka mingine miwili au muda mfupi kabla ya uchaguzi 2025.

Ninasikitika kwa Chama changu kutokuona mgogoro huu kupitia intelijensia yake. Ni kweli kilichofanywa na hawa wadada kinaudhi ila tulikuwa wapi kama viongozi kuliona hilo, tetesi zilikuwepo muda mrefu mkapuuzia badala ya kuchukua hatua mapema. Au hatua mnazopenda kuichukua ndiyo hizi?

Na Ndugai ameapa kuwalinda kwa hiyo hakuna cha kuwatoa akina Halima Bungeni.
Kwa hiyo tetesi zilipotoka walipaswa kukamatwa? Hujui walishapewa Ulinzi na CCM?
 
Hahaha kwa ccm wako juu ya sheria viapo kwao havina maana yoyote.

Ndio maana unaona rais Magufuli aliamua kuapa anavyojua yeye na Majaliwa akampongeza.

Kiapo ni nadhili ya kutokuvunja miiko ya cheo, madaraka au ofisi unayoiongoza.
Ccm hakuna sheria, wao wanapuyanga tu mpaka Tundu Lisu awaambie nimakosa.
Unakumbuka uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA walivyo yeyuka?!

Rais alimuapisha Mwigulu Hotelini, wakasema anaweza kuapisha popote hata porini.

Ndugai nasikia kawaapishia covid-19 GEREJI, naye kasema anayo mamlaka kuapisha popote.

Hahaha ccm wanaweza lolote na chochote chini ya jua.
Unateseka ukiwa wap?
 
Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.

Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.

Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.

Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
usitake kutafuniwa, chukua katiba usome
 
Kwa maana hiyo Spika Ndugai anaweza kuwaapisha wabunge guest, bar, chooni, barabarani, sokoni nk.
Ndugai atakuwa ana matatizo ya akili.
 
Katiba imesema "before the parliament",na spika wakati anawaapisha akina Halima,alitoa ufafanuzi kuwa kabla ya kamati kutunga sheria ndogo ilikuwa ni lazima wabunge waapishwe bungeni mbele ya wabunge!Kwamba hiyo ilitoa changamoto kwasababu wabunge wakikosa kuapishwa bunge la kwanxa ilibidi wasubiri mpaka mkutano mwingine ili waapishwe!Hiyo ilipelekea wabunge kuchelewa kutekeleza majukumu yao kusubiri kuapishwa!

Kwa maelezo hayo ya Ndugai ni wazi hata spika anaelewa "before the parliament" inamaana gani ndio maana hakukuwahi kutokea mtu kuapishwa nje ya bunge!

Bunge la 11 lilifanya marekebisho ya sheria ili mtu aweze kuapishwa nje ya bunge,cha ajabu wakasahau kubadili katiba ambayo mpaka leo inatamka wabunge wataapishwa ndani ya mkutano wa bunge!

Ndio nasema Katiba ni sheria mama,sheria zozote zinazokinzana na katiba ni batili
 
Chama changu kinachezeshwa kwata na ccm. Hii hatua iliyochukuliwa na chama ilijadiliwa na upande wa pili.

Wakifutwa uanachama wadada wanakwenda mahakamani kupinga kufutwa,kesi inapigwa miaka miwili wadada wanarudishiwa uanachama wao, cdm watakatarufaa kesi inapingwa hukumu inatoka baada ya miaka mingine miwili au muda mfupi kabla ya uchaguzi 2025.

Ninasikitika kwa Chama changu kutokuona mgogoro huu kupitia intelijensia yake. Ni kweli kilichofanywa na hawa wadada kinaudhi ila tulikuwa wapi kama viongozi kuliona hilo, tetesi zilikuwepo muda mrefu mkapuuzia badala ya kuchukua hatua mapema. Au hatua mnazopenda kuichukua ndiyo hizi?

Na Ndugai ameapa kuwalinda kwa hiyo hakuna cha kuwatoa akina Halima Bungeni.
Unajilazimisha kuwa na akili kubwa lakini uwezo huna!
 
Back
Top Bottom