johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Nimesema mstaafu!Corrections kwa sasa Mbowe sio KUB.
"Tangu nchi hii ipate uhuru hatujawai kuona Mbunge/Wabunge wakiapishwa garage, mambo ya kihuni kabisa haya..." Freeman Mbowe.
Aa wapi.... watafanya mtimanyongo kama walivyomfanyia Mugabe!Kwani hizo spea wanatupa bure au tunanunua?!
Hoja yako imekaa kipropaganda na ni ya kipuuzi,ulitaka wawafute kwa ramli kabla bila ushahidi?Hapa pana ushaid mnapiga domo la unajisi what if ingefanyika kabla?Achanen na hiz hoja za kitotoChama changu kinachezeshwa kwata na ccm. Hii hatua iliyochukuliwa na chama ilijadiliwa na upande wa pili.
Wakifutwa uanachama wadada wanakwenda mahakamani kupinga kufutwa,kesi inapigwa miaka miwili wadada wanarudishiwa uanachama wao, cdm watakatarufaa kesi inapingwa hukumu inatoka baada ya miaka mingine miwili au muda mfupi kabla ya uchaguzi 2025.
Ninasikitika kwa Chama changu kutokuona mgogoro huu kupitia intelijensia yake. Ni kweli kilichofanywa na hawa wadada kinaudhi ila tulikuwa wapi kama viongozi kuliona hilo, tetesi zilikuwepo muda mrefu mkapuuzia badala ya kuchukua hatua mapema. Au hatua mnazopenda kuichukua ndiyo hizi?
Na Ndugai ameapa kuwalinda kwa hiyo hakuna cha kuwatoa akina Halima Bungeni.
chezeaa ndugai wewe anaweza kumuapishia hata kongwa kijini mtafanya nini kwani?wafadhili mabeberu watatoa tu hela kwamba kuna demokrasiakanuni haiwezi kuwa kuwa juu ya katiba. spika atamuapisha mbunge ndani ya bunge huku kikao cha bunge kikishuhudia.
Chadema ni mshumaa. Unawaka huku ukiteketea. Baada ya muda hakuna mshumaa, hakuna kuwaka. Ni suala la muda tu.Imagine chadema bila hao wadada
Kwa hiyo tetesi zilipotoka walipaswa kukamatwa? Hujui walishapewa Ulinzi na CCM?Chama changu kinachezeshwa kwata na ccm. Hii hatua iliyochukuliwa na chama ilijadiliwa na upande wa pili.
Wakifutwa uanachama wadada wanakwenda mahakamani kupinga kufutwa,kesi inapigwa miaka miwili wadada wanarudishiwa uanachama wao, cdm watakatarufaa kesi inapingwa hukumu inatoka baada ya miaka mingine miwili au muda mfupi kabla ya uchaguzi 2025.
Ninasikitika kwa Chama changu kutokuona mgogoro huu kupitia intelijensia yake. Ni kweli kilichofanywa na hawa wadada kinaudhi ila tulikuwa wapi kama viongozi kuliona hilo, tetesi zilikuwepo muda mrefu mkapuuzia badala ya kuchukua hatua mapema. Au hatua mnazopenda kuichukua ndiyo hizi?
Na Ndugai ameapa kuwalinda kwa hiyo hakuna cha kuwatoa akina Halima Bungeni.
Chadema wameishiwa pumzi kwa kweli!
CHEZEEEEA NDUGAI WEWE ANAFANYA ANACHOTAKE YEYE KWANI VEEEPEEEEEE?
Unateseka ukiwa wap?Hahaha kwa ccm wako juu ya sheria viapo kwao havina maana yoyote.
Ndio maana unaona rais Magufuli aliamua kuapa anavyojua yeye na Majaliwa akampongeza.
Kiapo ni nadhili ya kutokuvunja miiko ya cheo, madaraka au ofisi unayoiongoza.
Ccm hakuna sheria, wao wanapuyanga tu mpaka Tundu Lisu awaambie nimakosa.
Unakumbuka uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA walivyo yeyuka?!
Rais alimuapisha Mwigulu Hotelini, wakasema anaweza kuapisha popote hata porini.
Ndugai nasikia kawaapishia covid-19 GEREJI, naye kasema anayo mamlaka kuapisha popote.
Hahaha ccm wanaweza lolote na chochote chini ya jua.
Walishaondoka wengi tu na wenye majina makubwa kuliko hao na chama kipoImagine chadema bila hao wadada
usitake kutafuniwa, chukua katiba usomeKwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa maana hiyo Spika Ndugai anaweza kuwaapisha wabunge guest, bar, chooni, barabarani, sokoni nk.Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( nationak assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Ccm wanateseka hadi wanatia huruma. Waliondoka kina Dr. Slaa itakuwa hao COVID 19?Imagine chadema bila hao wadada
Unajilazimisha kuwa na akili kubwa lakini uwezo huna!Chama changu kinachezeshwa kwata na ccm. Hii hatua iliyochukuliwa na chama ilijadiliwa na upande wa pili.