Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

Mwenyekiti wa CCM hiyo akili hana!
 


Ungejua namna gani hata mambo yanapasua vichwa vya viongozi wa ccm sasa hivi usingesema hivyo bro!

Hili ni tatizo unless otherwise Mh Ndugai awabebe hao wabunge 19 kama alivyofanya kwa kina Lijualikali

Lakini ukiangalia kwa umakini kuna shida mahali nahisi pia linaleta uzito hata kwa Mkuu kutangaza baraza coz kuna watu viti maalumu wanaume upande wa chadema inabidi waingie na wapewe. Wizara lkn kwa yanayoendelea yanaleta mkanganyika dawa ni kukaa nao chini na kuzungumza hizi tofauti
 
Katiba inasemahivi soma kwenye screenshot

Oath of
Members of
Parliament
Act No.15
of 1984,
Art.13
68. Every Member of Parliament shall be required to take and subscribe
before the National Assembly the oath of allegiance before commencing to take
part in the business of the National Assembly save that he may take part in the
election of Speaker before taking that oath.

kwa kiswahili ni hivi

Kiapo cha
Wabunge
Sheria ya
1984 Na.15
ib.13
68. Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha
uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini
Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla
hajaapishwa.

usije kusema nimetunga na screenshot ya katiba juu



Ndiyo maana uwa ninasema hatuhitaji katiba mpya maana hata iliyopo ni nzuri ina mengi ambayo hayazingatiwi. Ila tunahitaji mfumo wa vyombo vinavyoweza kusimamia katiba
 
Ngoja watimuliwe hao covid 19 na Hapo ndipo watajua gharama ya usaliti na uroho wa madaraka. Viva chadema.
 
Mmeshalegea, mliambiwa mkajidai vichwa ngumu hiyo ndio Chadema, kawachukueni muwapeleke lumumba.
Kweli nyinyi ni nyumb saccos inaporomoka bado unashangilia?? Mmmmh acha muitwe nyumb tu tusemeje sasa!!
 
Hoja yako imekaa kipropaganda na ni ya kipuuzi,ulitaka wawafute kwa ramli kabla bila ushahidi?Hapa pana ushaid mnapiga domo la unajisi what if ingefanyika kabla?Achanen na hiz hoja za kitoto
Mkuu unajilazimisha kuwa kiziwi wakati tetesi zilikuwepo...shida tuliyo nayo sisi ni kupuuza mambo na pale matokeo yanapojidhihirisha basi tunaanza ooh ooh nyingi. Utoto wangu wala wewe huwezi kuthibitisha.

Kiongozi mzuri na mwajibikaji angeshatambua nini kinakwenda kutokea na hatua za kuchukua. Siyo kukaa ofisini na kuanza kutoa matamko na kuwaita wakati ukijua kabisa it is too late.
 
Umeandika kifundi na umeeleweka. Tutaishangaa dunia ikifanya kazi na hawa watu wapuuza sheria.
Yote yanafanywa ili kukwepa kuingia kwenye mazungumzo na upinzani wenye hoja za kurudia uchaguzi,katiba Mpya, Tume huru ya uchaguzi.
Wahisani wakizuia tu msaada wa kibajeti, vikwazo vya kibiashara ni wazi huduma zitazorota watu watakereka na kuishinikiza serikali. Mpaka 2025 watakaokuwa hai wataona mengi.
Imani ya yangu Tanzania haijafanya uchaguzi toka 2015
 
Hata wasipoenda mahakamani, Ndungai anauwezo wa kuamua kutokuiona barua ya CHADEMA na wasimfanye kitu, au akaiona na akazuia wasifukuzwe uanachama kwa sababu atazoona zinafaa.
 
Hawa wanawake wanatumiwa na system na wana ushawishi ilikua sio rahis kuwatimua mapema chama kingegawanyika sana kuliko hivi ambapo hawana impact yoyote
 
Pole sana kwa kilichotokea, ndio matokeo ya sarakasi zenu za bila kutumia akili. Nyie ndio mnaosababisha Waafrika tuendelee kudharaulika na kuonekana wanyamapori
Mkuu kikundi chenu kilijichanganya, ila game ndiyo limeanza, lengo ni kuvuruga kabisa hicho kikundi maana mlipomuua wangwe, zito mkafukuza mkaja Slaa na sasa akina Halima, huo mtifuano ni balaa, hahaha unadhani NCCR iliishaje??? Mgekuwa clever kama wasingewafukuza, lakini mmeingia choo cha shimo mkitegemea baada ya kunya mtaflash.
 
Na ndio wameshafukuzwa, kama umechukia saga chupa ubwie tu.
 
Kwa akili hizi na za viongozi wenu mtabaki kuumizwa miaka yote. Kwa taarifa yako, Halima Mdee na wenzake hawabahatishi katika hili. Wapo 100% na watafanikiwa walichokilenga.

Mbowe anajua mchongo mzima. Omba uzima utayaona haya
 
Wasipokuwa makini huu mchezo unaenda kuwamaliza. Jumatatu ligi inaanza na hawa ni wabunge halali mpaka 2025.

Ndipo watajua TUNDU na mwanasheria wske Bob Amsterdam hawajui chochote kuhusu sheria za Tanzania na ni wasanii tu.

ICC imewashinda na hili la kina Mdee wanaangukia pua. Wait and see
 
Na ndio wameshafukuzwa, kama umechukia saga chupa ubwie tu.
Hakuna aliyefukuzwa hapo. Hao kuanzia Jumatatu ni wanachama na wabunge wenu kupitia mahakama.

Unadhani wao walipoenda kuapishwa hawakujua kuwa watafukuzwa uanachama?

Hayo maamuzi ya kuwafukuza ndio mpango na mchoro wenyewe ulivyo. YAJAYO YANAFURAHISHA....
 
Mbowe kasema wameapishiwa garage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki chama cha mdebwedo bado wanasema eti ni imara kuliko wakati wowote ule
Kisingekuwa imara mngekosa usingizi tarehe 28/10 kupeleka vituoni kura feki? Si mngeacha zikahesabiwa walizopiga wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…