Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( national assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Gwiji wa nini?Hapana kusahau Yule msiyemtaka gwiji wa magwiji mliyepanga kumwua pia "in attendance" alikuwamo.
Eeh mola wetu na ukamjalie maisha marefu na maono zaidi yatakayofanikisha ukombozi wa kweli wa nchi hii.
Vp wale viongozi wa mihimili wanaoishi kwa ARV za mabeberu?😂Chadema ni mshumaa. Unawaka huku ukiteketea. Baada ya muda hakuna mshumaa, hakuna kuwaka. Ni suala la muda tu.
Watakuja kina Hilder Newton na wengineo!Imagine chadema bila hao wadada
Gwiji wa nini?
Siasa za kufuata watu hazina nafasi karne hii, bali siasa za masuala( issues) watu huja na kuondoka! Na hubadilika. Better be principled.Imagine chadema bila hao wadada
Ukipata ulete mrejeshoKwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni KUB mjumbe wa kamati ya kanuni mstaafu anasema kwa mujibu wa katiba mbunge anapaswa kuapishwa na Spika mbele ya bunge ( national assembly) huku Siwa ikiwa inang'aa na si binginevyo.
Nimechukua Biblia takatifu, Katiba ya JMT na ninatafuta kitabu cha kanuni za bunge ili nijielimishe zaidi.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Wapo watu makini sana sema tu hawapati fursa so usidhani kwamba wao ndio walikua alfa na omegaImagine chadema bila hao wadada
Trillion mbili mlikuwa mnapewa bure bwashe.Kwani hizo spea wanatupa bure au tunanunua?!
Wale ni wadada au wamama? Hivi mama kama kaboyoka ni dada?Chadema bila hao wadada ni sawa na 2-2=0, ila nimewaelewa hapa wanawazuga tuu wanazi wao wa mitandaoni.
Na ndio wameshafukuzwa, kama umechukia saga chupa ubwie tu.
Kashapewa kinga wacha atumie fursa
Itaenda ilianzishwa kabla yaoImagine chadema bila hao wadada
Kwa vile una akili fupi huwezi kuona.Itaenda ilianzishwa kabla yao
Zako ni ndefu kama sehemu zako za siriKwa vile una akili fupi huwezi kuona.