Asante. Ungemsaidia pia usahihi wa takwimu, sijui hizi trillion 9, trillion 55 kaziokota wapi!
Kwa maoni yako;
1.Fedha iliwe tu kwa sababu ikichunguzwa Mpango atalazimika kukaa pembeni kupisha uchunguzi.
2.Fedha iliwe tu maana ikichunguzwa itawatia matatizoni maCAG waliopita. Unamwongelea CAG yupi? Kama umelenga Assad anzisheni tu yuko tayari hata kesho kutoa ushahidi kuhusu ununuzi wa ndege, SGR, Nyerere Dam, Ununuzi wa Wabunge na Madiwani.
3.Fedha iliwe tu maana ikichunguzwa CCM itavuliwa nguo.
4.Fedha iliwe tu maana waliohusika wana mamlaka na wakichunguzwa itajenga utamaduni wa kufukua makaburi.
Hizi akili CCM huwa mnatoa wapi? Mbona wengine ni Wasomi wakubwa tu nchini lakini mnajenga hoja Kama darasa la 4B?