pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Afande selle, umesoma ulichoandika kweli au? bange zinakupeleka kuzimu.lissu alikuwa anajifanya kuwa kila mtu anajuwa kuwa anaumwa kumbe akasahau kuwa taarifa ya maandishi lazima halafu akawa anadanganya bado anaumwa huku anaendelea kuzurura ulaya na kuichafua nchi huyo mhuni
Kwa hiyo, kuna makosa ambayo natural justice haifanyi kazi?!lissu alikuwa anajifanya kuwa kila mtu anajuwa kuwa anaumwa kumbe akasahau kuwa taarifa ya maandishi lazima halafu akawa anadanganya bado anaumwa huku anaendelea kuzurura ulaya na kuichafua nchi huyo mhuni
Mkuu ni kweli kabisa huoni tatizo kwenye hii issue ya uviko19?Hao chadema wako very very selfish Yani wew mwanaume unapigania mwanamke afukuzwe kazi yake kisa wew huna that's very foolishness and stupidity,, Spika kawajibu kwa hoja sana sana huwezi tu kumfukuza kazi mtu hivi hivi bila a fair justice never..
Tatizo lipo na linapaswa kumalizwa!Mkuu ni kweli kabisa huoni tatizo kwenye hii issue ya uviko19?
Kuna order inayotolewa inayoitwa stay for execution kuna baadhi zinazo operate automatically baada ya ku appeal na suala lolote linakuwa res sub judice na kuna nyingine lazima u apply mahakama itoe zuio caviatKwahiyo ukifungwa jela, halafu ukakata rufaa mahakamani kuhusu hukumu yako.
Kabla rufaa yako haijasikilizwa , hukumu yako inafutwa na unakuwa free?
Hoja kuu sio kufukuzwa. CDM wanadai hawajawateua hao wabunge kupitia vikao vyao vya kikatiba. Hapo Mh Dugai mbona anapakwepa? Kufukuzwa likikuwa ni zao la kukiuka utaratibu za chama.
Chama chao kimesema hakijawateua kwa kuwa hakuna vikao vilivyokaa. Mbona hakikusikilizwa? Vikao vya rufaa ndio muhimu sasa?
Hata kama utaratibu wa kuwafukuza haukufuatwa, lakini hilo la kuteuliwa na vikao ama la ni factual issue. Kwa hivyo hoja kuu ni kuwa hawakuteuliwa na cdm kama sheria inavyotaka.....hiyo ya kutokuwa wanachama wa chama cha siasa ni nyongeza ambayo haina athari kwenye hoja kuu.
Pathetic!
Walimtoaje Nusrat Hanje gerezani na kwenda kumuapisha bungeni? CCM ni chama cha hovyo sanaHoja kuu sio kufukuzwa. CDM wanadai hawajawateua hao wabunge kupitia vikao vyao vya kikatiba. Hapo Mh Dugai mbona anapakwepa? Kufukuzwa likikuwa ni zao la kukiuka utaratibu za chama.
Chama chao kimesema hakijawateua kwa kuwa hakuna vikao vilivyokaa. Mbona hakikusikilizwa? Vikao vya rufaa ndio muhimu sasa?
Hata kama utaratibu wa kuwafukuza haukufuatwa, lakini hilo la kuteuliwa na vikao ama la ni factual issue. Kwa hivyo hoja kuu ni kuwa hawakuteuliwa na cdm kama sheria inavyotaka.....hiyo ya kutokuwa wanachama wa chama cha siasa ni nyongeza ambayo haina athari kwenye hoja kuu.
Pathetic!
Unaelewa 'principles of natural justice' maana yake au unabwabwaja tu?lissu alikuwa anajifanya kuwa kila mtu anajuwa kuwa anaumwa kumbe akasahau kuwa taarifa ya maandishi lazima halafu akawa anadanganya bado anaumwa huku anaendelea kuzurura ulaya na kuichafua nchi huyo mhuni
Ndugai alipelekewa barua ya CHADEMA kwa maandishi, hizo hoja zake za kijinga amezipeleka kwa maandishi?Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho ya kumvua mtu uanachama endapo hajaridhika na utaratibu wa awali.
Anachohoji Spika Ndugai ni kama wabunge hao akina Halima Mdee walipewa fursa ya kusikilizwa na kama ndio ameomba mihtasari ya vikao husika ili ajiridhishe na kuchukua maamuzi stahiki.
Ni vema JJ Mnyika akatoka na kuzijibu hoja za Spika Ndugai kwa mujibu wa katiba na siyo blah blah.
Mnyika aseme tu kwanini anasita kuitisha kikao cha baraza kuu ili kukata mzizi wa fitina?
Pia J J Mnyika aufahamishe Umma iwapo wabunge wote 19 hawakuridhika na maamuzi ya kamati kuu hivyo walikata rufaa au kuna baadhi waliridhika na maamuzi hayo kama alivyokiri mjumbe wa kamati kuu mh Jesca Kishoa.
Hili swala linatutia doa kama taifa ni vema likamalizwa sasa.
Tusisahau kufuatilia hotuba ya Rais Samia bungeni leo.
Kazi Iendelee!
Suala la COVID-19 ni uhalifu wa kidola. Dola yote imehusika na aliyelifikisha kwenye mkwamo huu ni kibwengo jiwe.Spika anatumiwa kuna watoa tamko moja tu wafukuzwe au wasifukuzwe wapo kimya ndugai hana ujanja juu yao
Katiba mbovu sana hii
Hili swala ni la kisheria zaidi bwashee!Bwashee naona umepractise upumbavu hadi umefanikiwa kuwa.
ndugai aka sabufa atuambie hao covid-19 waliingiaje bungeni na kwa tiketi ya chama ganiSpika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.
Kwa mujibu wa katiba ya Chadema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho ya kumvua mtu uanachama endapo hajaridhika na utaratibu wa awali.
Anachohoji Spika Ndugai ni kama wabunge hao akina Halima Mdee walipewa fursa ya kusikilizwa na kama ndio ameomba mihtasari ya vikao husika ili ajiridhishe na kuchukua maamuzi stahiki.
Ni vema JJ Mnyika akatoka na kuzijibu hoja za Spika Ndugai kwa mujibu wa katiba na siyo blah blah.
Mnyika aseme tu kwanini anasita kuitisha kikao cha baraza kuu ili kukata mzizi wa fitina?
Pia J J Mnyika aufahamishe Umma iwapo wabunge wote 19 hawakuridhika na maamuzi ya kamati kuu hivyo walikata rufaa au kuna baadhi waliridhika na maamuzi hayo kama alivyokiri mjumbe wa kamati kuu mh Jesca Kishoa.
Hili swala linatutia doa kama taifa ni vema likamalizwa sasa.
Tusisahau kufuatilia hotuba ya Rais Samia bungeni leo.
Kazi Iendelee!
Hii issue ina complications flani. Chama hakijawateua na kuna mtu/watu/kikundi kimefoji barua na kuipeleka NEC then NEC wakaact accordingly na kumjulisha speaker.Chama chao kimesema hakijawateua kwa kuwa hakuna vikao vilivyokaa. Mbona hakikusikilizwa? Vikao vya rufaa ndio muhimu sasa?