Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwa hiyo wewe unataka wasiteue ili kujustify uchaguzi haukuwa fair? Aidah anafanya nini Bungeni? BAWACHA wanataka kwenda Mahakamani kudai nini sasa?Sasa wakiteua hao 19 si ndicho CCM wanakihitaji ili kujustify uchaguzi usio free and fair?
Mhe. Ndugai kaamua kutukanisha (abuse) malaka yake kama Spika, na elimu yake pia. Hoja sa CDM ni kwamba, majina yote 19 ya wabunge hayakuwasilishwa kwake na Katibu wa CDM, kwa maana chama hakikukaa popote kuwateua watu wale. Baada ya kungua kuwa wamejiteua, CDM iliandika barua kwenda kwa spika kuwakana na kutoa notisi ya kuwafutia uanachama.Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa....
Kabla ya kuvuliwa Ubunge na kabla ya kusikilizwa rufaa, kinachotangulia ni Uteuzi.Kipi kinatangulia kati ya kuvuliwa Ubunge na kusikilizwa rufaa?
Ukihukumiwa ukikata rufaa unakuwa huru? hatari snKwani mtu si anajata rufaa dhidi ya hukumu ya mwanzo!?
Chadema siyo jela bwashee!
nilimsikia wakili mmoja akisema kwenye jambo hili mfano huu si relevant, mfano relevant ni ikiwa wewe ni mfanyakazi na ukafukuzwa kazi basi ukikata rufaa utaendelea kuwa mfanyakazi mpaka pale rufaa yako itakaposikilizwa; the same case kwa kina mdee wamefukuzwa uanachama na wamekata rufaa wanaendelea kuwa wanachama mpaka pale rufaa zao zitakaposikizwa. Wakishinda watendelea kuwa wanachama wakishindwa uanachama wao utakua umeisha.Kwahiyo ukifungwa jela, halafu ukakata rufaa mahakamani kuhusu hukumu yako.
Kabla rufaa yako haijasikilizwa, hukumu yako inafutwa na unakuwa free?
Mnaogopa nini kuwasikiliza?Sasa natural justice ya nini wewe muumini wa Erasto??
Ukiyatazama juu juu utaona ni kama ni ya wanasiasa pekee ila ukweli ni kwamba siasa ndiyo mfumo wa kuamua maisha yetu yaendeje.Kwa hiyo wewe unataka wasiteue ili kujustify uchaguzi haukuwa fair? Aidah anafanya nini Bungeni? BAWACHA wanataka kwenda Mahakamani kudai nini sasa?
Haya mambo bana tuwaachie Politicians tu kwa kweli.
Mfano wa kijinga- itisheni baraza kesi iishe mnaogopa nini?Kwahiyo ukifungwa jela, halafu ukakata rufaa mahakamani kuhusu hukumu yako.
Kabla rufaa yako haijasikilizwa, hukumu yako inafutwa na unakuwa free?
Wewe mbuzi, mimi siyo CHADEMA. Nashangaa tu hata hayo majina bungeni yalifikaje.Mfano wa kijinga- itisheni baraza kesi iishe mnaodopa nini
Ungekuwa siyo mbuzi ungejua kuwa majina kwenda kwa Spika yanatoka Tume ya Uchaguzi- sasa Spika anahusika nini? Tumieni basi akili kidogoWewe mbuzi, mimi siyo CHADEMA. Nashangaa tu hata hayo majina bungeni yalifikaje.
Mkuu wamekata rufaa tayari kuonyesha CHADEMA wanasukumwa na hasira za haya majamaa kukosa ubungeJukumu lake spika kama amepokea barua halali ya wao kufukuzwa anatakiwa atii, hiyo kupekuwa pekuwa si kazi yake kina halima kama kitu hakikufuatwa ndo walitakiwa kwenda Mahakamani lakini sipika afanye kila kitu yeye
Me si mtaalam wa sheria ila nahisi kama kuna jambo tunajichanganya. Nadhani si tu kwamba kitendo cha we kukata rufaa kinakurejeshea haki.nilimsikia wakili mmoja akisema kwenye jambo hili mfano huu si relevant, mfano relevant ni ikiwa wewe ni mfanyakazi na ukafukuzwa kazi basi ukikata rufaa utaendelea kuwa mfanyakazi mpaka pale rufaa yako itakaposikilizwa; the same case kwa kina mdee wamefukuzwa uanachama na wamekata rufaa wanaendelea kuwa wanachama mpaka pale rufaa zao zitakaposikizwa. Wakishinda watendelea kuwa wanachama wakishindwa uanachama wao utakua umeisha.
Nadhani shida ipo sasa. Nani anapaswa kuinitiate hii kitu? Madai kwamba ile barua ni forged nadhani yalitolewa kwenye media. Kuna msemo unasema hivi "He who alleges must also prove". Wapi, how, when labda ndipo kwenye shida
Sasa hii ndio tendency yenyewe ya kuplay victim. Kushindwa kuchukua hatua stahiki kwa sababu tu unahisi/unaogopa/umeshaconclude kuwa hutotendewa haki ni udhaifu.
Dharula ipi mkuu?Me si mtaalam wa sheria ila nahisi kama kuna jambo tunajichanganya. Nadhani si tu kwamba kitendo cha we kukata rufaa kinakurejeshea haki....
Walipoitwa kujitetea walisema (kila mmoja) kuwa wana udhuru na kuomba wapewe muda wa kusikilizwa siku za mbele ambapo muda huo ingekuwa wamesha apa ubunge kitu ambacho ndicho chama chao kilikuwa kinazuia kisitendeke kutokana na wao kutoteuliwa na chama.Dharula ipi mkuu?
Kwanza kitendo tu cha kukata rufaa kisheria tayari unakuwa unakubaliana uwepo wa shauri husikaKwahiyo ukifungwa jela, halafu ukakata rufaa mahakamani kuhusu hukumu yako.
Kabla rufaa yako haijasikilizwa, hukumu yako inafutwa na unakuwa free?