Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

Sahihi kabisa. Wameona hahongeko. Wanataka aje mwingine, wakitegemea labda atahongeka.
Naam, hana bei! Wanatamani mabadiliko yawe yanafanyika mara kwa mara atokee mtu mwenye bei kama Dr. Slaa, Prof. Lipumba, nk. Shameless. Na kwa bahati mbaya, inaelekea vyombo vya nchi hii navyo vinasiriki kwenye siasa hizi chafu za kudumaza demokrasia katika nchi!
 
Sahihi kabisa. Wameona hahongeko. Wanataka aje mwingine, wakitegemea labda atahongeka.
Hanunuliki, hicho konawakera sana. Aliharibiwa biashara zake na Mwendakuzimu ili 'aunge mkono' naye ageuke chawa kama akina Slaa lakini mjuba kawadindishia.
 
Back
Top Bottom