Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜View attachment 3346550
Rest in peace Mdude.
Mkuu huyu Mama ni muuaji.ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kwani imekuua confirmed ðŸ˜ðŸ˜
Umemsahau Steve magereNaamini dotto magari na mwijaku watajibu vizuri hasa wakiungana na Baba levo na wasanii WA kuigiza na muziki watatoa hoja za kueleweka
Kila Mtanzania amezielewa Hoja za Gwajima labda mtu awe mgonjwa upstairs au Chawa.
Gwajima kwa hili ameonyesha uzalendo wa kweli kwa nchi yetu...Tanzania kwanza, vingine vitafuataAskofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Ukitumia akili na fikra tunduizi, hapo hoja kuu ni moja ambayo ni Rais kupewa madaraka makubwa na yasiyo hojiwa kupitia katiba mbovu tuliyokuwa nayo.Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
Naona msukuma mbunge wa geita anajitutumua kuzijibu lakini mtu mwenye akili timamu ukisikiliza hoja zake unaweza ukasonya bila kutarajiaKila Mtanzania amezielewa Hoja za Gwajima labda mtu awe mgonjwa upstairs au Chawa.
It is not Dictatorship, it is terrorism.Dictatorship
View attachment 3346577