Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Kwasasa kulawiti na kubakaAskofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Watekaji mnaofira mpo au hampo?Hakuna hoja hapo, ni takataka na ujinga
nashangaa hoja kuntu kama hizo zinajibiwa na kina Jeni Murro, bwabwa zero brainAskofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Kuna mwijaku naskia uko instagram kasema kuwa uwo ni upuuziNaamini dotto magari na mwijaku watajibu vizuri hasa wakiungana na Baba levo na wasanii WA kuigiza na muziki watatoa hoja za kueleweka
wewe ni chawaHakuna hoja hapo, ni takataka na ujinga
Aisome chiembeAskofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Kwenye hizo hoja watapita mbali kama wanaaga maitiAskofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Mambo yao waachie wenyewe.Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Mkuu hizi hoja haziwezi kujibiwa na na ''mtu yeyote''. Hawa wanaojitokeza ni wasaka tonge na hawana clue yoyote ni nani wanateka wala hawana uwezo wa kuzuia au kuamrisha.Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Sio lazima ajibiwe kwa kufuata mwongozo wako. Kila mmoja ana style yake ya kumjibuAskofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
Hayo maangalizo mawili yapo sawa kabisa.Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye uwezo na mifumo imara na dhabiti ya kuchunguza, kugundua, kuzuia na kufuta kabisa hayo matukio.
2. Kwanini mamlaka zote za nchi zimeshindwa kabisa kuwajibika katika matukio yote ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa kwa watu.
Sasa, mtu yoyote, taasisi yote, mamlaka zozote zenye lengo la kutaka kumjibu Gwajima ni vyema zikazingatia hayo mambo makubwa mawili ili tuweze kuwaelewa.
kwa nini hawaliongelei hili jambo baya?inqsikitisha sanaKinacho sikitisha Top wote hawaja wahi kuongelea wala kulaani utekaji😅wakiulizwa kuhusu utekaji wanaruka kwa hoja za kijinga
mkuu nakukumbusha PM
Hatutofautiani sana, mi naona kulikwepa suala la Tal alilinda maana ya hoja yake.Hakuna mareefu yasiyokuwa na ncha.
Wamwulize, IGP Omary Mahita mda huu yukoje.
Maisha yanaenda na mda,japo mda uko palepale.
Nguvu,majigambo,majivuno,cheo,sauti ya mamlaka,amri n.k
Viko wapi.
Gwajima katembea na biti zote za Chadema.
Japo,hajazungumzia kuhusu Kukamatwa na kubandikwa kwa kesi ya uongo kwa M/kiti taifa wa Chadema.
Ameonyesha unafiki pia.
Kama inauma chomoaHakuna hoja hapo, ni takataka na ujinga
Naona shimo lako lina mchanga mchanga, ulikaa chini bila kuwa na za ndani!? Acha nichomoe tuKama inauma chomoa