Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSM anatoa sh ngapi kwa Yanga kutumia jersey za Yanga kutangaza.Si kweli kuwa Mo foundation inalipiwa. Inaitwa Mo Simba foundation. Hii ni Taasisi ya kujitolea kwa jamii japo sijajua iko active kiasi gani, lakini kikubwa je makubaliano hayo ni kwa shilingi ngapi?
Ukweli usemweKanunue ya uto itakuwa poa pia shabiki wa ukweli hawezi kuwa kigei geu kama wewe
Kwenye VHivi nye Utopolo mbona mnakuwa wajinga hivi ,jezi ya Simba kifuani kulia kucha chapa mo extra ,Yanga kifuani kulia kuna gsm ,Simba mngongoni kuna mo29 ,Yanga mgongoni Kuna GSM foam ,tofauti ni nini?
Kwenye mikono isingeonekana unajua ile ni kama tangazo ila sema kweli more bidhaa zake angeweka identity moja ya jumla kuliko kila bidhaa mfano ile mo sport kwenye shingo sijui hata mo sport inahusika na niniKwenye V
si ingekaa hata kwenye mikono jmn
size ya Moxtra na GSM ipi kubwa
yanga jersey is simple and classic
Less is more
Simba ni makolo tuKwani hapo kuna mahali umeandika kiasi cha pesa ambazo Mo anacholipia kwenye jezi Simba kwa kuitangaza bidhaa za Simba? Anza kwanza kutaja thamani ya mkataba wa matangazo ya Mo kwenye jezi kisha ndipo uje kuuliza swali hilo kuhusu GSM.
Yanalipiwa shilingi ngapi?Matangazo hata yakifunika jezi yote ni sawa cha muhimu mpunga unaingia, na kwa taarifa yako yale ya Mo yote yanalipiwa, Mo foundation inalipiwa, Mo extra inalipiwa na Mo soap pia inalipiwa. Mkuu hivi GSM analipa sh ngapi kwa kutokea kwenye jezi ya young Africans?
Anajitia upofuKwani hapo kuna mahali umeandika kiasi cha pesa ambazo Mo anacholipia kwenye jezi Simba kwa kuitangaza bidhaa za Simba? Anza kwanza kutaja thamani ya mkataba wa matangazo ya Mo kwenye jezi kisha ndipo uje kuuliza swali hilo kuhusu GSM.
Lazima uwataje hao wakubwa kwa sababu ni vioo kwa timu ndogo .Sasa mkuu unatolea mfano wa Manchester na Chelsea kulinganisha na timu za Tanzania!
Embu weka na mfano fly emirates wanawapa Chelsea kiasi gani na wao fly emirates wanapata returns kiasi gani?
Ulaya washapiga hatua kubwa sisi bado tunachechemea.
Kabla ya Mo na gsm hizi timu zilikua hoi bin taaban,bado hazina mifumo mizuri ya kujiendesha ni tegemezi mpaka maji ya kunywa ya wachezaji.
Ukilalamika unaitwa UtoSio siri its annoying
less is always more
Hv wanataka wanaSimba tununue za Yanga?.
SawaTunataka muyasome na myaote kabisa. Simba ni team sahihi ya kufanya marketing. Tangazo hata ukiliweka mafichoni misukule italiona tu. Tunataka sabuni za mo29 zijae mtaani haraka wateja tupogo.
Hujaona hoja nyinginezo hapo mkuuTimu haiendeshwi na elfu 30 za kununua jezi, hayo matangazo kwenye jezi yanachangia kiasi kikubwa maendeleo ya timu.
Hiyo ni siri yao ndio maana hawa timu za kariakoo hawasemi, kama huamini fatilia GSM anatoa bei gani kama utapata majibuYanalipiwa shilingi ngapi?
Hili swali ni gumu sana eeh?.
Hujasoma uziZile sio Sanda kusema zisiwe na mtangazo zile ni jezi hivyo ukitaka isiwe na matangazo labda iwe Sanda
GSM ndio taifa gas?GSM anatoa sh ngapi kwa Yanga kutumia jersey za Yanga kutangaza.
Afya, GSMfoam na taifa gas?
Kaangalie kwenye mkono wa jezi za arsenal utatana na Visit RwandaKwenye mikono isingeonekana unajua ile ni kama tangazo ,ila sema kweli more bidhaa zake angeweka identity moja ya jumla kuliko kila bidaa,mfano ile mo sport kwenye shingo sijui hata mo sport inahusika na nini
nenda kaangalie jezi ya santos ya brazilMods msiunganishe huu uzi maana hamkawii.
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayepinga uwepo wa matangazo kwenye jezi , ila wengi wanaopinga wanapinga kwa hoja zifuatazo.
1. Mpangilio wa matangazo, matangazo kwenye jezi ya simba yamekaa hovyo hovyo sana, mengine mgongoni, mengine kwenye kola , mpaka yanapoteza mvuto wa jezi na sidhani kama walikosa muundo mzuri wa kuweka matangazo hayo kwa kuwa end product ni kama bango.
2. Mdhamini mmoja kujirudia mara nyingi , Kampuni moja inajirudia zaidi ya mara tano!! , Utajisikiaje ukivaa jezi ya arsenal halafu fly emrirates ipo mara 6!!
3. Mdhamini mkuu wa Simba anajulikana kuwa ni Sportpesa , kiasi anachokitoa kwaajili ya udhamini kinajulikana, huyu mdhamini mwingine anatoa shilingi ngapi ukilinganisha na idadi anayotekea kwenye jezi ya Simba.?
4. Wakati mwingine sio tu hela watu wanaangalia class, Simba imeshakuwa brand kubwa sana Tanzania, kuna vitu vidogo vidogo vinaweza kushusha hadhi ya kitu hata kama kuna hela inaingia, hivi club kubwa kama Manchester United inayomilikiwa na familia ya Glazer wanashindwa nini kutangaza jina na makampuni yao kwenye jezi, au Chelsea ya Roman Abramovich mbona hatuioni ikitangaza matangazo ya kampuni za mafuta za Roman Abramovich ?
Jibu ni kwamba Roman Abramovich na Familia ya Glazer hawashindwi kujaza mitangazo kwenye hizo jezi, isitoshe wao ndio wamiliki kwa kiasi kikubwa, ila kinacholindwa ni hadhi ya hizo clubs ndio maana unawaona wadhamini kama Team Viewer wakijinafasi peke yao kama wadhamini wakuu na wadhamini wadogo wakionekana kwenye sehemu nyingine za jezi vizuri bila kuharibu haiba ya jezi
Itaendelea.