Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tuige ujinga.nenda kaangalie jezi ya santos ya brazil
ndo utajua maana ya jezi yenye matangazo mengi
Watu wanapiga hela hapoHiyo ni siri yao ndio maana hawa timu za kariakoo hawasemi, kama huamini fatilia GSM anatoa bei gani kama utapata majibu
Angalau GSM hawalalamiki kuwa wanaendesha timu kwa hasara kama mwamediHiyo ni siri yao ndio maana hawa timu za kariakoo hawasemi, kama huamini fatilia GSM anatoa bei gani kama utapata majibu
Mo extra ni kampuni ya A one...Kwahiyo tuige ujinga.
Hayo matangazo meni ni ya kampuni moja
Kwani yale makampuni si yanalipa au yanaweka bure ( Namaanisha Mo 29 na Mo extra).Angalau GSM hawalalamiki kuwa wanaendesha timu kwa hasara kama mwamedi
N Mo29.Hivi Ile sabuni ya K29 ni yake au jamaa kaiga tena?
Mbona Visit Rwanda huwa tunaiona kwa Arsenal?Kwenye mikono isingeonekana unajua ile ni kama tangazo ,ila sema kweli more bidhaa zake angeweka identity moja ya jumla kuliko kila bidaa,mfano ile mo sport kwenye shingo sijui hata mo sport inahusika na nini
Mo group of companiesMo extra ni kwmpuni ya A one...
MO 29 ni kampuni ya Royal Soap.....
Je hiyo ni kampuni moja?
Kuna watu wanateteakiukweli mo amezingua kwenye jezi (Mo extra, Mo 29, Mo sports, Nk
Mo analipa bei gani kwenye matangazo, tuanzie hapaKwani yale makampuni si yanalipa au yanaweka bure ( Namaanisha Mo 29 na Mo extra).
Pia mo si anatoa ruzuku? Anayoisema hasara ni hii ruzuku.
Kuna mo sport juu ya mo extra.. halafu zile chapa kulia si inawakilisha watengenezaji? Ulaya huwa naona zinakaa Nike. umbro. adidasHivi nye Utopolo mbona mnakuwa wajinga hivi ,jezi ya Simba kifuani kulia kucha chapa mo extra ,Yanga kifuani kulia kuna gsm ,Simba mngongoni kuna mo29 ,Yanga mgongoni Kuna GSM foam ,tofauti ni nini?
Anayetetea mtazame mara mbili kisha muombee kwa MunguKuna watu wanatetea
Matangazo mengi sawa je zote ni kampuni moja? Au kampuni tofauti?nenda kaangalie jezi ya santos ya brazil
ndo utajua maana ya jezi yenye matangazo mengi
Utopolo, ila ule uchafu wenu wenye picha za misukule ndio jezi nzuri??!Jezi mbaya matangazo kibao
Mo Mo Mo kama ng'ombe vile.
Who cares?Matangazo mengi sawa je zote ni kampuni moja ? Au kampuni tofauti?
Kwa bahati mbaya simba ya sasa haihitaji ushauri ili iende mbele, inahitaji pesa na tayari imewekwa na impact inaonekanaUkweli usemwe
na kukubali changamoto ni sehemu ya kukupa maendeleo kwenda mbele