Hoja za Matangazo kwenye jezi mpya Simba

Hivi nye Utopolo mbona mnakuwa wajinga hivi, jezi ya Simba kifuani kulia kucha chapa mo extra, Yanga kifuani kulia kuna GSM, Simba mngongoni kuna mo29 , Yanga mgongoni Kuna GSM foam, tofauti ni nini?
 
Si kweli kuwa Mo foundation inalipiwa. Inaitwa Mo Simba foundation. Hii ni Taasisi ya kujitolea kwa jamii japo sijajua iko active kiasi gani, lakini kikubwa je makubaliano hayo ni kwa shilingi ngapi?
GSM anatoa sh ngapi kwa Yanga kutumia jersey za Yanga kutangaza.
Afya, GSMfoam na taifa gas?
 
Hivi nye Utopolo mbona mnakuwa wajinga hivi ,jezi ya Simba kifuani kulia kucha chapa mo extra ,Yanga kifuani kulia kuna gsm ,Simba mngongoni kuna mo29 ,Yanga mgongoni Kuna GSM foam ,tofauti ni nini?
Kwenye V

Si ingekaa hata kwenye mikono jmn

Size ya Moxtra na GSM ipi kubwa

Yanga jersey is simple and classic

Less is more
 
Kwenye V

si ingekaa hata kwenye mikono jmn

size ya Moxtra na GSM ipi kubwa

yanga jersey is simple and classic
Less is more
Kwenye mikono isingeonekana unajua ile ni kama tangazo ila sema kweli more bidhaa zake angeweka identity moja ya jumla kuliko kila bidhaa mfano ile mo sport kwenye shingo sijui hata mo sport inahusika na nini
 
Kwani hapo kuna mahali umeandika kiasi cha pesa ambazo Mo anacholipia kwenye jezi Simba kwa kuitangaza bidhaa za Simba? Anza kwanza kutaja thamani ya mkataba wa matangazo ya Mo kwenye jezi kisha ndipo uje kuuliza swali hilo kuhusu GSM.
Simba ni makolo tu
 
Yanalipiwa shilingi ngapi?

Hili swali ni gumu sana eeh?.
 
Kwani hapo kuna mahali umeandika kiasi cha pesa ambazo Mo anacholipia kwenye jezi Simba kwa kuitangaza bidhaa za Simba? Anza kwanza kutaja thamani ya mkataba wa matangazo ya Mo kwenye jezi kisha ndipo uje kuuliza swali hilo kuhusu GSM.
Anajitia upofu
 
Lazima uwataje hao wakubwa kwa sababu ni vioo kwa timu ndogo .

Simba ilipokubali kufanya maabadiliko ya kimfumo, ililenga kuwa klabu kubwa yenye kufanana na hadhi na klabu zinazoendeshwa kisomi na sio ujanja.
 
Tunataka muyasome na myaote kabisa. Simba ni team sahihi ya kufanya marketing. Tangazo hata ukiliweka mafichoni misukule italiona tu. Tunataka sabuni za mo29 zijae mtaani haraka wateja tupogo.
Sawa
 
Kwenye mikono isingeonekana unajua ile ni kama tangazo ,ila sema kweli more bidhaa zake angeweka identity moja ya jumla kuliko kila bidaa,mfano ile mo sport kwenye shingo sijui hata mo sport inahusika na nini
Kaangalie kwenye mkono wa jezi za arsenal utatana na Visit Rwanda
 
nenda kaangalie jezi ya santos ya brazil

ndo utajua maana ya jezi yenye matangazo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…