Hoja za Matangazo kwenye jezi mpya Simba

Sisi tunaomba matangazo yaongezwe nyani kutoka uto wanataka kujua maliipo ya kila tangazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima uwataje hao wakubwa kwa sababu ni vioo kwa timu ndogo .

Simba ilipokubali kufanya maabadiliko ya kimfumo, ililenga kuwa klabu kubwa yenye kufanana na hadhi na klabu zinazoendeshwa kisomi na sio ujanja.
Wakubwa wenye mikono mirefu serikalini mzee.mtoto wa msoga ajawai kuacha hii michezo na wengine wengi tu.
 

Timu za kiarabu zinaongozwa kwa ukwasi. Unadhani ukwasi unaletwa na kuuza kalio kwa Mzee Tozi?
 
Mo Sports ni jina mbadala la Simba SC, muda si mrefu timu yangu ya Simba SC itabadilshwa jina na kuitwa Mo Sports.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…