mullo gabriel
Member
- Aug 3, 2021
- 70
- 76
Mo anailipa Simba kiasi gani ili kuweka Tangazo lake kwenye jezi ya Simba?Timu haiendeshwi na elfu 30 za kununua jezi, hayo matangazo kwenye jezi yanachangia kiasi kikubwa maendeleo ya timu.
Mimi naona ile mo29 ya pale ndo imeharibu jezi( ingetolewa)Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayepinga uwepo wa matangazo kwenye jezi ila wengi wanaopinga wanapinga kwa hoja zifuatazo.
1. Mpangilio wa matangazo, matangazo kwenye jezi ya simba yamekaa hovyo hovyo sana, mengine mgongoni, mengine kwenye kola, mpaka yanapoteza mvuto wa jezi na sidhani kama walikosa muundo mzuri wa kuweka matangazo hayo kwa kuwa end product ni kama bango.
2. Mdhamini mmoja kujirudia mara nyingi, Kampuni moja inajirudia zaidi ya mara tano!! , Utajisikiaje ukivaa jezi ya arsenal halafu fly emrirates ipo mara 6!!
3. Mdhamini mkuu wa Simba anajulikana kuwa ni Sportpesa, kiasi anachokitoa kwaajili ya udhamini kinajulikana, huyu mdhamini mwingine anatoa shilingi ngapi ukilinganisha na idadi anayotokea kwenye jezi ya Simba.?
4. Wakati mwingine sio tu hela watu wanaangalia class, Simba imeshakuwa brand kubwa sana Tanzania, kuna vitu vidogo vidogo vinaweza kushusha hadhi ya kitu hata kama kuna hela inaingia, hivi club kubwa kama Manchester United inayomilikiwa na familia ya Glazer wanashindwa nini kutangaza jina na makampuni yao kwenye jezi, au Chelsea ya Roman Abramovich mbona hatuioni ikitangaza matangazo ya kampuni za mafuta za Roman Abramovich?
Jibu ni kwamba Roman Abramovich na Familia ya Glazer hawashindwi kujaza mitangazo kwenye hizo jezi, isitoshe wao ndio wamiliki kwa kiasi kikubwa, ila kinacholindwa ni hadhi ya hizo clubs ndio maana unawaona wadhamini kama Team Viewer wakijinafasi peke yao kama wadhamini wakuu na wadhamini wadogo wakionekana kwenye sehemu nyingine za jezi vizuri bila kuharibu haiba ya jezi
Itaendelea.
Hawajawahi hawaMmewahi angalia mechi za timu za amerika ya kusini?
After all hawatangazi kampuni wanatagaza productsHakuna kitu kinaitwa hivyo.....
Ila kuna METL ambapo ndani yake kuna makampuni kibao.
Uto...mnahangaika kweli kweli.Mo Sports ni jina mbadala la Simba SC, muda si mrefu timu yangu ya Simba SC itabadilshwa jina na kuitwa Mo Sports.
Kwa hyo hoja yako ni nn,ni kuona jez inamatangazo mengi au kuwa ya mtu mmoja?Kwahiyo tuige ujinga.
Hayo matangazo meni ni ya kampuni moja
Unachangia sh ngap kama mwanachma kuendesha team mkuu,iv kwel unaweza kupiga hesabu ya mwanaume mwenzio ambaye anakesha kuhakikisha team inafanya vizurMo anatakiwa atujuze moja, je yeye ni mwekezaji anaegawana faida na simba??? au yeye ni mwekezaji aliewekeza simba iliatangaze biashara zake,
majibu yake yatatusaidia kudai mapato yatokanayo na matangazo yake au kuheshimu haki ya yeye kugeuza jezi ziwe kurasa ya mbele ya gazeti la champions.
Mo halipi,na asilipe chochote,aendelee tu kupiga hela,kikubwa sisi mashabiki wa Simba tunaona timu inafanya vizuri,tangia Mo awekeze Simba haijawai kuvurunda.Mo anailipa Simba kiasi gani ili kuweka Tangazo lake kwenye jezi ya Simba?
Okay, ngoja tubadili swali. Hivi Mo analipishwa pesa yoyote na Simba kwa kuweka tangazo lake kwenye jezi za Simba?
Uzembe sana sasaSasa bado kuna kinywaji kinakuja kinaitwa MO Babra πππ
View attachment 1922882
Basi simba inabidi tuende Amerika ya Kusini kushiriki ligi ya hukoMmewahi angalia mechi za timu za amerika ya kusini?
Design ingekuwa hivi , jezi ingependeza.Mimi naona ile mo29 ya pale ndo imeharibu jezi( ingetolewa)
Ile vunja bei ingekaa upande wa kushoto pale ilipo mo xtra
Afu iyo mo xtra ingekaa pale kwenye mkono kama visit rwanda inavokaaaga
Ile mosport sasa ndo MO anapokuaga kama mjinga jezi za vunjabei ww MO upele unakuwashia nn
Simba fan hapa
Wangeweka pembeni ya mikonoHii MO 29 sehemu ilipo na rangi zake sijapenda maana ni sehemu yakuandikia jina, ina-confuse kidogo kwa mimi binfsi jezi ni nzuri eneo hilo ndio sijapenda na unaweza inunua na ukaiboresha kama hivi huyu jamaa. Naona tuinunue ni kali kinoma nahisi usipova huu uzi mwaka utakua umeumaliza vibaya sana
View attachment 1925873
unaweza inunua na
wameacha kwa ajili ya fifa wanawekaga nembo zao, wangeifanya ndogo zaidi, tu ipotezee hii mada maana uto wakiiona wataleta shida.Wangeweka pembeni ya mikono