Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

Vituko kweli yupo mbowe mwenyekiti wa saccos anatuhumiwa ugaidi halafu unataka isitajwe chadema uko sayari gani wewe

Nime ku zoom nikakubamba:

IMG_20210930_235237_441.jpg

You have things in common.

Na wewe ujumbe murua kwa boss ni huu:

IMG_20210930_170832_807.jpg
 
Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi.

Adamoo kaeleza mwenyewe namna alivyokamatwa. Yaliyotokea Moshi, alivyojikuta Tazara, hadi polisi Mbweni.
CHADEMA KATIKA MAJARIBIO YA KUGEUZA KICHWA CHA JAJI NA JAMII- SIKILIZENI MBOWE ATAFUNGWA SI KWA UONEVU BALI KWA USHAHIDI MATHUBUTI USIO NA CHEMBE YA MASHAKA

243355961_3227138364239493_7036229981532095857_n.jpg
 
Sorry tunamwangalia mheshimiwa Jaji na tuna Imani naye ya kuwa atatenda haki. Ushahidi ameusikia na vilevile amepata faida ya kuwaona mashaidi kwa mamma walivyokuwa wakitoa ushahidi wao(deameaner of witnesses). Tumwombee Mungu amtangulie na atende haki.
Ushahidi kuhusu hao jamaa walivyokamatwa na kuteswa, lakini kesi ya msingi ya ugaidi mpaka sasa haijasikilizwa. Unataka jaji atoe uamuzi gani? Kwamba waachiwe halafu waende kukamatwa kistaarabu bila kuteswa?
 
Pole na hongera sana Jumanne, hakika kazi yenu na Kingai na Mahita imetukuka. Hivi ndivyo wanaotaka nchi isitawailike hufanya. Na kwa kesi ya gaidi Mbowe mmeweza kuonyesha jinsi nchi yetu ilivyo chafu. Bila huyu gaidi, nani angejua kwamba polisi hawajui kitu kinaitwa PGO? Nani angejua kwamba polisi anaruhusiwa kuchukua mali ya mtuhumiwa? Haya yote ni matokeo mazuri mliofanya na sasa dunia inajua namna nchi ilivyo chafu kwa sababu ya huyu gaidi.
watajuta walio kuwa wanapanga mipango haramu ya kuchafua Amani ya nchi.
vipo vya kuchezea kama kitambi chako, kidevu n.k lkn kamwe usijaribu kuchezea Amani ya nchi.
Amani ya nchi ni zaidi ya mboni ya jicho.
 
Kwani huu ndio msingi wa kesi ndogo? Pera kweli kweli [emoji2] [emoji2]
Ushahidi kuhusu hao jamaa walivyokamatwa na kuteswa, lakini kesi ya msingi ya ugaidi mpaka sasa haijasikilizwa. Unataka jaji atoe uamuzi gani? Kwamba waachiwe halafu waende kukamatwa kistaarabu bila kuteswa?
 
Maamuz ya mahakam yanawez kutufany Tujue katb inatosha au haitosh pia ku credit au dis credit Taifa
 
Ee Mola wetu ukamtangulie huyu Judge ili akatende haki iliyo sawa na neno lako badala ya yule mwovu.
 
Pole na hongera sana Jumanne, hakika kazi yenu na Kingai na Mahita imetukuka. Hivi ndivyo wanaotaka nchi isitawailike hufanya. Na kwa kesi ya gaidi Mbowe mmeweza kuonyesha jinsi nchi yetu ilivyo chafu. Bila huyu gaidi, nani angejua kwamba polisi hawajui kitu kinaitwa PGO? Nani angejua kwamba polisi anaruhusiwa kuchukua mali ya mtuhumiwa? Haya yote ni matokeo mazuri mliofanya na sasa dunia inajua namna nchi ilivyo chafu kwa sababu ya huyu gaidi.
Mnapo enda kumtembelea gerezani mfikishieni salamu kutoka kwa wapenda amani, mwambieni Wapenda amani wanasema kuwa;
"Amani ya nchi imejengwa kwa misingi imara na itaendelea kulindwa na kizazi na vizazi, ikitokea mtu au watu kutaka kuchezea amani ya nchi basi watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria"
 
Kesi hii ndogo ni rahisi sana kwa upande wa utetezi kwa sababu:
1. Ukamataji una wingu kubwa la giza
2. Usafirishwaji watumhumiwa una walakini mwingi
3. Walioshiriki kuwakamata wanatoka Arusha bila kufuata utaratibu wa ruhusa
4. Mbweni kuna mengi
5. Upekuzi ndio usiseme
Lakini kesi hii ndogo ni ngumu mno kwa sababu:
1. Mh rais kashasema Mbowe ni gaidi
2. Jaji aliyeteuliwa ujaji na rais anaweza msaliti rais?
3. Mbowe alishafungwa na majaji hawa hawa kwa kuonewa
4. Lema, Sugu na wengi wengine walishafungwa na majaji hawa hawa
5. Tayari Mbowe kesi yake ya kuwa alikamatwa bila kufuata utaratibu na haki zake zilivunjwa ilipigwa chini na mahakama za juu
6. Kesi nyingi za wapinzani zinapigwa chini nk nk nk
Muda ni hakimu mzuri tusubiri.
 
Au wahuni wa Ufipa hawatafanya lolote kumvuruga mwamuzi?
Hizi kauli MaCCM mlizitumia mlipo Muua Kamanda Mawazo. mkazirudia mlipo muua Ben Saanane na mlipo muua Mheshimiwa Lissu.. na mmezitumia mkiteka wana CHADEMA nchi nzima.
Na mkiongea haya maana yake MaCCM mmeshamuua na huyu Komandoo ..
Mlaaniwe MaCCM wote na vizazi vyenu vyote. InshaAllah.!
 
Macho yote sasa kwa Jaji. Akitupilia mbali pingamizi hili maana yake kakubaliana na upande mashtaka kuwa yote ilikuwa kwa mujibu wa PGO.

Yuko wapi Moses Lijenje?
Naam, yupo wapi Moses Lijenje,
MaCCM yaseme yalipo mfukia tukamfukue Komandoo wetu tumfanyie ibada.
 
Mjumbe mpya unajifunza kupost

View attachment 1958725

Hujui kushoto wala kulia

Hapa tu ndipo huwa na washangaa mnajionaga ni wenyeji zaidi JF kuliko wengine,kwani wewe si pia ulikuwa mgeni wakati unajiunga? Kuna tatizo gani kwa New Member kucomment? Bishaneni kwa hoja,habari za kuchungulia mwenzio kajiunga lini ni dalili ya kuishiwa hoja.Ni hayo tu ndugu Mwenyeji wa JF [emoji3][emoji3]
 
Usichoelewa ni mfanano wa maoni unaowa qualify (kama asemavyo mkenya) kupeana ujumbe huu mahsusi kwa boss wenu mteka watu:

IMG_20210930_170832_807.jpg

Hamjishangai?!
 
Back
Top Bottom