Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Miaka mingapi mnawafikia na kuwatapeli kwa ahadi msizozitekeleza?
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Unatuunganishia vipande kwa sababu alikuwa hana watu yaani wewe na elimu yako yote umeshindwa kuona hii picha namna ilivyotengezwa na wewe unaibeba na kuileta huku
 
Safari hii mtasambaratishwa hadi mpoteane 28 oktoba.
Ccm mmewafanya watanzania maskini mmekalia kujipendekeza tu ona mlivyomajuha mnawadanganya sana watanzania safari hii hawakubali ujinga wenu
IMG_20200911_080452.jpeg
 
Njaa mbaya sana hivi sasa Mzee huyu anapitia njia ileile ya mstaafu Mwinyi ili mwanae aweze kubebwa na system iliyopo madarakani
Akina Kikwete, Mwinyi, Pinda, Lowasa na huyu Yusufu wote wana-suppport ujinga kwasabb tu watoto zao wamepewa shavu.

Bado mke wa Kikwete na mke wa John Malechela wamo. Unategemea wazee Hawa watasema kitu?
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
(CCM can not waste her time to answer)
Maccm ndio yanawapenda hawa ambao hawajui hata kuandika ili iwe rahisi kuwaburuza
TwendenaLissu2020
 
Akina Kikwete, Mwinyi, Pinda, Lowasa na huyu Yusufu wote wana-suppport ujinga kwasabb tu watoto zao wamepewa shavu.

Bado mke wa Kikwete na mke wa John Malechela wamo. Unategemea wazee Hawa watasema kitu?
Tulitegemea wazee hawa ndio wangeweza kumkosoa Jiwe pale anapoenda kinyume na Katiba ya Nchi na kumkemea, imekuwa kinyume
 
Tulitegemea wazee hawa ndio wangeweza kumkosoa Jiwe pale anapoenda kinyume na Katiba ya Nchi na kumkemea, imekuwa kinyume
Katiba ya kidikteta tulionayo wanaijua ukali wake. Hawawezi kuthubutu, watashughulikiwa.
 
JPM miundombinu yote anasema kajenga yeye.

Lakini uwanja wa ndege wa chato anauruka kimanga.
Mbunge king Msukuma yeye pale kwenye mkutano wa Geita alisema uwanja umejengwa kutokana na Mipango yao hapo mkoani, Yusufu Makamba anasema Ni mradi wa CCM, hi si dio namsikia JPM akizungumza kwa kisukuma kuwa Ni kuchanganya Kidugugu na maharage?!?!!!😀😁😂🤣😀😁😂😀😁😂🤣😃😃😃😃🤩🤩🤩🤩🤩!!!!!!
 
Mkutano wa Tundu Lissu akiwa Bagamoyo umenikatisha tamaa kwa hoja zake zisizo na majibu bali zinahitaji utekelezaji wa Serikali.

Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi wamekufa kwa presha baada ya nyumba zao kubomolewa na viongozi wa CCM kupitia mamlaka kuu,Anasisitiza hawakulipwa pesa kosa barabara.

Pili, Tundu Lissu anasisitiza walimu na mapolisi kwa miaka mitano hawajaongezewa kitu chochote ,na wakati wa Mei Mosi hujibiwa kwa kiburi tunajenga barabara.

Tatu, Tundu Lissu amewauliza wananchi hali ya maisha yao na wafanyabiashara wanaonaje,Wananchi wamejibu hali ni ngumu sana

Nne, Anatuhumu kuwa pesa na michango ya Corona imeliwa yote waliyochangisha wana CCM na Mamlaka Kuu. Anasema madaktari na manesi waliahidiwa wakati wa corona kulipwa lakini mpaka sasa hawajalipwa hata senti tano.

Hii ya Bagamoyo leo Tundu Lissu lengo lake ni kumjibu Mama Samia Suluhu kwa hotuba zake Lindi.

Kwa hoja na kauli ngumu kama hizi za Tundu Lissu nani atazijibu?

Mzee Yusuf Makamba amejitokeza leo kujibu lakini utamuonea huruma hana la kujibu wala namna bali kutifurahisha vijana.

Mzee Makamba anasema CCM ndio imejenga uwanja wa Rais Chato na sio Rais kajenga, amesisitiza kuwa Chato ni Tanzania

Mzee Makamba anasema mbuga ya Chato ni ongezeko la vivutio kwani lile pori lilikuwa tupu wanakaa majambazi.

CCM kama chama changu tuache kumjibu huyu mtu majukwaani tuongelee yetu.

Mbona suala la hotuba yake Zanzibar tumekaa kimya na yeye mwenyewe kapotezea, tungejibu ishu ya Zanzibar angetupa taabu sana.
We LOFA usitupangie cha kufanya shika kinachokuhusu.
 
Mbunge king Msukuma yeye pale kwenye mkutano wa Geita alisema uwanja umejengwa kutokana na Mipango yao hapo mkoani, Yusufu Makamba anasema Ni mradi wa CCM, hi si dio namsikia JPM akizungumza kwa kisukuma kuwa Ni kuchanganya Kidugugu na maharage?!?!!!😀😁😂🤣😀😁😂😀😁😂🤣😃😃😃😃🤩🤩🤩🤩🤩!!!!!!
hahahahahahhahahah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawa jamaa wamepoteana kqabisa awamu hii. wanashabikiwa na wasiojua kityu au wengine wanajua bt wanafaidika na mfumo
 
Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi wamekufa kwa presha baada ya nyumba zao kubomolewa na viongozi wa CCM kupitia mamlaka kuu,Anasisitiza hawakulipwa pesa kosa barabara.
Ndugu kama unadhani Mgufuli ni mtu wa kuogopa kukosa kura eti kisa nyumba kubomolewa basi umekosea sana. Huyu mtu yupo straight hata kama utamnyima kura. Kama hilo hulijui, basi wauize wanabuchosa juzi wameambiwa nini kwenye mkutano wa kampeni.

Kama hukusikia basi pitia hii clip hapa chini

Zahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
Umeziona wapi au stori
 
Zahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
vijana wepesi sana kudanganywa..elimu mnayosoma siku hizi haiwasaidii kabisaa
 
Back
Top Bottom