Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Sema kipi uongo na kipi ni kweli kwa aliyo yasema naona unarusha rusha matiti
Ukweli maana yake ni factual, kwenye hyo press yake hana nyaraka wala vidhibit zaidi ya kusema "Gwajima anajua....kamuulizeni Mashinji "

Sasa kama waziri hana hta nakala ya financial statements za CHADEMA alafu anatoa shutuma then mnaojiita great thinkers mnashabikia tu.

Kweli nchi yetu ina safari ndefu sana
 
Hivi DJ alipata div ngp vile f4? Unamlinganisha na Degree holder, hana ubavu wala sera kumjibu Waitara! Mbowe kwa sasa anahitaji maombi ili atoke madarakani, ni wa kumwonea huruma
 
Kuna sehemu kasema hivyo we pro mbowe hebu jibu kipi uongo kipi kweli
Ni uongo anapokea 50M kila mwezi kwa deni hewa, maana huwezi pewa hati safi unless kila transaction uliofanya ina vithibitisho mfano receipt,ankara, bank statement n.k

Anasema ushahidi kuwa Mbowe alikula 700M za wajapan "tukamuulize Gwajima", ssa hiyo ni hoja kweli mkuu? Yaani waziri anashindwa kuwa na nyaraka za kuprove kuna Mil 700 zilitumwa kuja Tz zikaliwa na Mbowe? Alafu unataka tujibu? Ssa tunajibu rumours au ushahidi?

Tuhuma kila mtu anatoa tu ila ushahidi ndio tatizo, sasa kma serikali yenye TISS inashindwa kung'amua kuna 700M zimetumwa Tz zikaliwa hadi tukamuulize Gwajima basi tuna safari ndefu sana.

Akija na facts ndio ingenoga sio kelele.... Eti 300M zilitumika kumdhoofisha Waitara jimboni kwake? Yaani utumie ruzuku ya miezi miwili kupora jimbo moja?
 
Kuna sehemu kasema hivyo we pro mbowe hebu jibu kipi uongo kipi kweli
Usibishane au kumjibu mpumbavu.Nyamaza kimya mwisho wa siku ataaibika tu.Na ndivyo itakavyokuwa kwa huyu mwongo.
 
Upinzani wetu huu ni pesa tu,hawana malengo ya kushika dola ndio maana toka 1995 hadi 2000 hatuna upinzani wa maana, watu wanawaza ruzuku tu na kupigana kila mara at the end vyama vinakufa.
 
Tukiwa tunawaita nyumbu msiwe mnakasirika Mana mpo Kama misukule kwa heka zote izo bado mnapanga Tena nyumba ambayo ata raia wa kawaida anaweza kuimudu Yan mnashindwa hata ofis na baadh ya vyama vya kinamama vya sakos
Propaganda tu nilidhani ana nyaraka kumbe anatutuma kwa Gwajima!!

Anadai Mbowe ametapeli pesa za kampeni ilihali Waitara bado alikubali kugombea kupitia CHADEMA!!

Hvi tuhuma nzito hivi unadhani Dr Slaa asingezimwaga siku anasepa ama Zitto?

Dr Mashinji alikua katibu mkuu hajayasema hya sembuse hyu aliyekua subordinate tu.

Ifike mahala hawa waropokaji wafaiwe nyaraka kuthubitisha maana kma CAG anakagua mahesabu afu haoni huu ubadhirifu ila wanasiasa ndio wanauona basi nchi yetu ina matatizo mazito zaidi.

CCM jaribuni zaidi, Kma Dr Slaa alifeli sidhani kuna press conference ya kuivunja CHADEMA.

Kuna yule Naibu waziri alisema CHADEMA walimdhuru Lissu nashangaa polisi haijamuita kusaidia upelelezi na kosa la kuiba evidence eneo la tukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vilaza wa chadema lazima mmwone mbowe anaakili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ndio ameifikisha hapo ilipo CHADEMA kiasi hta Waitara ameshinda jimbo.

Watu shukrani hawana kwanni wasiondoke kwa amani tu mpka matusi? Mbona Dk Mashinji,Lowassa na Sumaye wapo kimya ilihali wanajua mazito ya pande zote mbili.

Angeleta Nyaraka ila propaganda bila uthibitisho sio jambo la kushabikiwa na mtu yeyote serious
 
Kwann mbowe asilete nyaraka ili kuwa prove wrong wanao sema ni mwiz Kama tuhuma Sio za kweli aje na ushaid hela amezitumia vip akiweza nahamia chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu bila nyaraka unaropoka lolote. Ssa ushahidi ni Kamuulize Mashinji na Gwajima? Kwanini wasilete uthibitisho wa nyaraka kuonyesha pesa anazoingiza Mbowe ili aburuzwe TAKUKURU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom