zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ukweli maana yake ni factual, kwenye hyo press yake hana nyaraka wala vidhibit zaidi ya kusema "Gwajima anajua....kamuulizeni Mashinji "Sema kipi uongo na kipi ni kweli kwa aliyo yasema naona unarusha rusha matiti
Sasa kama waziri hana hta nakala ya financial statements za CHADEMA alafu anatoa shutuma then mnaojiita great thinkers mnashabikia tu.
Kweli nchi yetu ina safari ndefu sana