zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nyumba gani wamepanga? Ile ilishanunuliwa toka 2012 na nyaraka ziliwekwa humu na Tumaini makene mwenyewe.Tukiwa tunawaita nyumbu msiwe mnakasirika Mana mpo Kama misukule kwa heka zote izo bado mnapanga Tena nyumba ambayo ata raia wa kawaida anaweza kuimudu Yan mnashindwa hata ofis na baadh ya vyama vya kinamama vya sakos
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye hoja? Mie sio nyumbu bali nasimamia objectivity. Sasa waziri mzima anaropoka bila ushahidi alafu vijana mnashabikia tu.
Ssa Deni hewa la 50M linarekodiwaje kwenye Financial statements? Interest rate imekua detetmined vipi? CAG anakagua deni hewa alafu atoe hati safi? Hvi waziri anakosaje hta Nyaraka moja ya kuthubitisha Mbowe alipokea 700m eti anasema tumfuate Gwajima anajua!!
Ndio maana wakenya wanatudharau sana, mijitu kushabikia hta hamuwezi kuhoji