Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Tukiwa tunawaita nyumbu msiwe mnakasirika Mana mpo Kama misukule kwa heka zote izo bado mnapanga Tena nyumba ambayo ata raia wa kawaida anaweza kuimudu Yan mnashindwa hata ofis na baadh ya vyama vya kinamama vya sakos

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba gani wamepanga? Ile ilishanunuliwa toka 2012 na nyaraka ziliwekwa humu na Tumaini makene mwenyewe.

Jikite kwenye hoja? Mie sio nyumbu bali nasimamia objectivity. Sasa waziri mzima anaropoka bila ushahidi alafu vijana mnashabikia tu.

Ssa Deni hewa la 50M linarekodiwaje kwenye Financial statements? Interest rate imekua detetmined vipi? CAG anakagua deni hewa alafu atoe hati safi? Hvi waziri anakosaje hta Nyaraka moja ya kuthubitisha Mbowe alipokea 700m eti anasema tumfuate Gwajima anajua!!

Ndio maana wakenya wanatudharau sana, mijitu kushabikia hta hamuwezi kuhoji
 
Kwann mbowe asilete nyaraka ili kuwa prove wrong wanao sema ni mwiz Kama tuhuma Sio za kweli aje na ushaid hela amezitumia vip akiweza nahamia chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi unajitambua? Sasa ww umeambiwa umetumiwa 700M kutoka Japan sasa unathibitishaje wakati hujawahi?

Huwezi thibitisha kitu ambacho hakipo unless angesema labda nyumba A amepora chama hapo sawa maana angethibitisha kwa nyaraka za malipo na mkataba.

Uthibitisho ni CAG..... Ametoa hati SAFI kwa CHADEMA sasa unataka tumuamini msomi na vijana wake ama mwanasiasa asiyejua hata deni linarekodiwa kwenye eneo gani la financial statement!!

Eti inarekodiwa 50m kila mwezi kwenye book of accounts!! Alafu interest vipi? Kazi sana hawa mawaziri wetu afu shida nyie vijana mnashabikia tu hta kuhoji nyaraka mnashindwa.
 
Ni hatari sana mkuu sijui tumuamini nani sasa hii nchi hii.
Nahisi kuna laana fulani tunayo sio bure.
Tumuamini CAG aliyetoa hati safi sio mtu anayeropoka bila nyaraka.

Ina maana CAG hakuona deni safi?

Mkuu ww ni mtu makini sitegemei uamini propaganda bila ushahidi
 
Ok nyumba imesha nunuliwa so Ile unaona unafaa kua ofisi ya chadema?
Nyumba gani wamepanga? Ile ilishanunuliwa toka 2012 na nyaraka ziliwekwa humu na Tumaini makene mwenyewe.

Jikite kwenye hoja? Mie sio nyumbu bali nasimamia objectivity. Sasa waziri mzima anaropoka bila ushahidi alafu vijana mnashabikia tu.

Ssa Deni hewa la 50M linarekodiwaje kwenye Financial statements? Interest rate imekua detetmined vipi? CAG anakagua deni hewa alafu atoe hati safi? Hvi waziri anakosaje hta Nyaraka moja ya kuthubitisha Mbowe alipokea 700m eti anasema tumfuate Gwajima anajua!!

Ndio maana wakenya wanatudharau sana, mijitu kushabikia hta hamuwezi kuhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kama Sio kweli mwenyekit aje akanushe na vithibitisko Tena atakua kamkomesha mwita waitara na walio mtuma sio akae amezee tu Ila makamanda ndio kusema nyie ni mikia au mnafungu lenu umo Mana mpo Kama vipofu hamuon chochote ofis ya chama kikubwa inashindwa na nyumba yangu ninayo jenga kwa mshahara wa laki 7kwa mwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hivi hizi tuhuma & kashfa ni za kweli au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu zote anazotumia huyu mjinga wakati barabara ya Mombasa Moshi bar INA mashimo huyu mpumbavu alaaniwe
 
Mie nipo mkuu Nipe hta hoja moja tu hapo!!

Hta video hujaangalia unakurupuka tu ushabiki.

JF ya zamani watu wali rely facts sahvi rumour tu inahalalishwa.

Hvi Mbowe ajichotee 50 m kila mwezi ila CAG haoni? Kwanini asije hapa na nakala ya huo mkataba wa kulipwa 50m? Yye si waziri anaupata kwa barua ya polisi tu ama Financial intelligence unit!!

Duh kazi sana
Mkuu zitto junior, nakubalina nawe kuwa na hawa wabunge nao walete humu JF ushahidi.

 
Kama Sio kweli mwenyekit aje akanushe na vithibitisko Tena atakua kamkomesha mwita waitara na walio mtuma sio akae amezee tu Ila makamanda ndio kusema nyie ni mikia au mnafungu lenu umo Mana mpo Kama vipofu hamuon chochote ofis ya chama kikubwa inashindwa na nyumba yangu ninayo jenga kwa mshahara wa laki 7kwa mwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo ni kashfa & shutuma kubwa sana kwa mwenyekiti & CDM kwa ujumla. Ila ukweli utajulikana tuu.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda yanawafanya hata wale wasiopenda siasa kuanza kufuatilia. Kweli mambo yamenoga
 
Hizi ndiyo post pedwa ...HONGERA SANA MLETA HOJA
HONGERA SANA MODS
 
Ngoja niwasaidie watu wa CCM wanaopiga propaganda mfu hapa.

Waitara asingehitaji kamwe kutengeneza video na kuileta hapa JF; kwa sababu haisaidii kitu.
Waitara yupo desperate ile mbaya, anatafuta njia ya kutokea, na anajuwa njia hiyo sio hapa JF.

JF haitoi shukrani kwa yeyote na wala haimzawadii chochote Waitara kutokana na taarifa yake kuwa hapa.
Anapaelewa vizuri sana, ambapo kama akiwasilisha taarifa za kummaliza Mbowe anazawadiwa mara dufu.

Sasa kwa nini asiende huko na ushahidi mzito, na badala yake aje hapa JF, itamsaidia kitu gani yeye?

Mbowe amepambana na kuzishinda njia nyingi za kumwondoa alipo. Mwita Waitara awe na ushahidi wa hakika wenye tuhuma za kummaliza Mbowe, halafu ashindwe kuzipeleka kwa watu ambao wanazitafuta usiku na mchana? Watu anaojua Waitara watamzawadia maradufu kwa taarifa zake zitakazotimiza malengo ya kumwondoa njiani Mbowe!

Mara nyingi Jukwaa hili la JF linatumika kama jalala vile.
Kuna watu wanadhani JF hakuna watu wenye akili timamu!
 
Ndugu zangu,

Kitabu kitakatifu cha Biblia kinasema, "Nanyi mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru" (Yohana 8:32). Nitatoa comments zangu kesho kuhusu video hii, ila nakuhusihi kama unakifurushi cha data, tenga dakika 30 hivi kwa ajili ya taifa lako.

Haya mambo nilikuwa nayasikiaga tu, kwa haya aliyoyasema Waitara, nayapa uhakika wa 95%. Nadhani, wakati sasa umefika kwa wanachama na wapenzi wa Chadema kuamka kutoka usingizini, japo it is too late uchanguzi wa viongozi umepita, jamaa huyu (Mbowe) wasingeendelea kumchekelea.

Kama tuhuma hizi ni za uongo, basi Mbowe ajitokeze hadharani azikanushe, bila kuzikanusha, zitakuwa tuhuma za ukweli. Waitara has finally shed a light to the public, now it is time to act, and not to remain silence.

Nawasilisha

Link ya video hiyo



Usiku mwema,

Kejuu

Mbowe anakula za uso huu utawala , yaan ni non stop, mpak uchaguz ukafike atabakiwa na mbunge mmoja
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom